Recent content by Abtali Mwerevu

  1. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview NAOT na HESLB

    https://youtu.be/R4_Qhkeh5RM?si=cNPVDb_JSHwamE-3
  2. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Mfano wa Maswali NAOT Fungua Hapa Kusoma
  3. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Maswali Usaili Mkaguzi Daraja la II (NAOT)

    Maswali yanayoulizwa katika usaili huu yamejikita maeneo manne ambayo ni: Uelewa wa mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii, Maswali kuhusu taaluma yako, Maswali kuhusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Maswali kuhusu kompyuta, internet na akili mnemba na maswali kuhusu hesabu. Japo lolote...
  4. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Waimbaji wa Nyimbo za Kisukuma Wenye Melodies Tamu Kushinda Waimbaji wa Bongofleva

    Siyo kweli, wasanii wa kisukuma wanapendwa sana na kuungw nyumbani kwao. Yeyote anayezindua jambo lake, hutumia wasanii wa kisukuma. Wasukuma ndiyo waanzilishi wa zile show ziitwazo 'chaka to chaka.'
  5. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya Ualimu Shule ya Ellen White

    Shule hii imetangaza zaidi ya nafasi 28 za walimu. Shule inapatikana Dodoma na yeyote anaweza akaomba. Maelekezo Zaidi juu ya namna ya kuomba na Taratibu zao Soma Hapa. Kitu cha tofuati kuhusu shule hii ni kwamba, inakwenda na wakati, mfumo wake wa maombi ya kazi ni kama ule wa ajira portal...
  6. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya NECTA Kidato cha Sita 2026 | NECTA ACSEE RESULTS 2026

    Huwa mnalipwa ku'coment' chochote?
  7. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya NECTA Kidato cha Sita 2026 | NECTA ACSEE RESULTS 2026

    NECTA wametangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2026 huku wakieleza kuwa, ufaulu umeongezeka. unaweza kuyatazama matokeo hayo kwa Kugusa Hapa. Baada ya kuona matokeo, unaweza kuuliza swali lolote hapa kwa usaidizi.
  8. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Mfano wa Maswali ya Usaili PCCB TAKUKURU Mtihani wa Mchujo

    Kwa Maswali ya Oral Interview, Soma Hapa
  9. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Mfano wa Maswali ya Usaili Msaidizi Maendeleo ya Jamii Daraja la II Community Development

    Katika usaili wako unaweza kukutana na maswali ya aina yoyote hata kwa kitu ambacho hujasomea. Hata hivyo, mara nyingi utakutana na mambo yanayohusu taaluma yako, mfano: What are the four components that should be included in each policy statement? A) Title, author, department name, and...
  10. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Mfano wa Maswali ya Usaili Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II Record Management Assistant II

    Kama umeitwa katika usaili wa mchujo, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II au kwa kimombo, Record Management Assistant II utakuwa unajiuliza maswali yanatokaje hasa kama ni mara yako ya kwanza kufanya mitihani hii. Katika mitihani hii, chochote kinaweza kuulizwa hata kile ambacho hujasomea. Hata...
  11. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Mfano wa Maswali ya Usaili PCCB TAKUKURU Mtihani wa Mchujo

    Ngumu kama jiwe.
  12. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Mfano wa Maswali ya Usaili PCCB TAKUKURU Mtihani wa Mchujo

    Soma: Maswali ya Kujiandaa na Oral Interview TAKUKURU Vijana wengi wameitwa katika usaili wa mchujo TAKUKURU au PCCB. Usaili huu ni wa kuandika na unafanyika kwa njia ya kompyuta. Wengi walioitwa katika usaili, hawajui hasa ni maswali ya aina gani yanatoka. Ni jambo la hatari kwenda katika...
  13. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi TAKUKURU

    Soma Mfano wa Maswali Yanayotoka Hapa.
Back
Top Bottom