Safi sana bro, ni kitu kipya masikioni mwa watanzania wengi. Ila kadri siku zinavyokwenda wataelewa. Uzuri wa trade hakuna kuchelewa wala kuwahi. Kila siku ni mpya na opportunities zipo za kumwaga
Hiyo niliyotuma inaitwa detailed report. Kwa wale wanaofanya trade wanaifahamu. Inakuwa extracted kutoka kwenye account yako ya trade. Kama inavyoonyesha nilianza na 5000 usd na ndani ya muda mfupi nikapata faida ya 19,000 usd. Lengo la kuwaonyesha hii ni kutaka kuwathibitishia kuwa jamaa...
Asante kwa uzi mzuri wa kujenga. Ni kweli wapo watu wengi wanafanya trade hasa wahindi kwa hapa Tanzania. Mimi nilisikia mwaka 2012, nikajifunza mwaka mzima. Nitaweka screen shot ya kile ninachoweza kutengeneza ndani ya miezi mitatu. Kikubwa kuliko yote kwa anayetaka kujiunga kama alivyosema...
Hana Pub siku hizi, hata chamber yao ambayo yupo partner na kina Dr. Posi inachechemea vibaya. Wateja wengi wamekimbia. Anatafuta huruma za chama, pia hata wenzake wameshamchoka
Hivi kiongozi asiyekwenda ofisini kwa takribani miaka miwili kweli ana nia njema na chama? Pia alikuwa akiwadharau sana viongozi wenzeka na kujiona yeye ni kila kitu..Pasco sikutegemea uandike kitu kisicho na mashiko kiasi hichi..Zitto ni opportunist, mnafifiki mkubwa..tunaomfahamu siku nyingi...
Lizaboni, kwa hiyo unachosema Josephine Mushumbusi anaweza kufanya maamuzi yoyote kuhusu JF... huo ni upuuzi usio wa kawaida usiruhusu njaa na jazba za kijinga zitawale akili mpaka vidole vyako. Ipo haja ya kuanzisha chuo kipya mbadala wa kivukoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.