Recent content by abraham nnko

  1. abraham nnko

    Profesa Baregu; "Zamani Tulikuwa Tunafuta Ujinga Kwa Watu Wazima, Siku Hizi Wajinga Wengi Ni Vijana."

    Hapa umenena mkuu mimi mwenyewe nimekubali kwa wewe ni greater thinker uzi umetulia kaka mkubwa all the best nigger
  2. abraham nnko

    Tupeane ujanja wa kuishi jela bila kuonewa na watemi

    Kuhusu jela ya wapi hiyo ni siri yangu
  3. abraham nnko

    Tupeane ujanja wa kuishi jela bila kuonewa na watemi

    Ni lazima unywe maji kupunguza vijambo! Kuhusu jeans ya wapi hiyo ni siri yangu.
  4. abraham nnko

    Tupeane ujanja wa kuishi jela bila kuonewa na watemi

    Njoo nikupe tiketi ya jela ili ukalijue hilo !
  5. abraham nnko

    Tupeane ujanja wa kuishi jela bila kuonewa na watemi

    Mauzoefu utayapata never mind mimi ndio mjela jela mwenyewe na mimi jela nilikuwa kiherehere mkuu
  6. abraham nnko

    Tupeane ujanja wa kuishi jela bila kuonewa na watemi

    Jela ni amani mkuu ila kama umezoea maisha ya kula kula kila saa uraiani it will cost you a lot! Kwanza jela ni lazima ufuate taratibu za jela! Prison regulations ambazo ni ulazimu (1) kuepuka vijambo vya kila mara ni lazima muda wa kulala unywe maji lita tatu aijalishi una kiu au hauna!(2)...
  7. abraham nnko

    Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

    Tumuachie mungu wakuu' mungu yupo na hakika kazi yake imetukuka ' ole wao wanafiki mbele za mungu
  8. abraham nnko

    ‪Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akamatwa na Polisi kwa madai ya kuzidisha muda wa mkutano‬

    Kweli sasa kinachoendelea dhidi ya upinzani kinasikitisha na ni kama mchezo wa kuigiza! Let's wait and see what gonna happen on the coming days
  9. abraham nnko

    Nimekubali..mihogo,kitunguu saumu,tangawizi na asali.moto wa kuotea mbali

    Umesahau mkuu! Wengi wetu huwa wanachowaza ni, chakula na ngono na dili za wizi na kufuga matumbo mkubwa maafuru kama kitambi!
  10. abraham nnko

    Nimekubali..mihogo,kitunguu saumu,tangawizi na asali.moto wa kuotea mbali

    Hivo vitu vyote ulikula au ulipakia kwenye kirikuu maana ilikuwa ni sheena sasa
  11. abraham nnko

    Hivi unafahamu siku moja utakufa?

    Death is not my business and i never worry about it, becouse it comes when i do not know! !
  12. abraham nnko

    Mnanunua Madiwani, kwasabu Mbunge hamumuwezi mnamzushia uongo, CCM bure kabi.

    Only time will tell! Msiogope wana chadema bado tupo ngangari ngangari ile kinoma
  13. abraham nnko

    Safina radio Arusha, tamaa ya pesa itawamaliza hakika

    Hapo mkuu umenena ukweli! Ila wababaishaji wanataka kubishana! Tatizo la watanzania wengi ni unafiki! Mfumo wa watumishi wa kiroho umeingiliwa na roho mtakavitu ndio maana siku hizi wanaubiri sadaka sadaka sadaka tuuuuu!
  14. abraham nnko

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Je kama nikiamua kubadili IMEI
Back
Top Bottom