Recent content by Abou merlin

  1. Abou merlin

    Naomba msaada kuhusu usajili wa vyuo na mikopo

    Habari zenu wakuu, Please naombeni msaada, nilijisajili ktka chuo amabacho sjapangiwa na TCU, so mkopo umeingizwa chuo nilichopangiwa na TCU amabcho sasa hiv nataka niende. Je ! nitasajiliwa kwa kua nishasajiliwa na chuo kingine? au niende ku cancel nilipojisajili mwanzo ili wanisajili.
  2. Abou merlin

    Hatua na taratibu za kuhama chuo au kozi

    watatujuulisha lini? via sms notification tuwalipe pesa yao au ndo mpaka deadline ipite?
  3. Abou merlin

    Je, umewahi kujutia shahada uliyosomea? Njoo tushauriane!

    IT with education... sijutii kwani kumalza tu nimeajiriwa
  4. Abou merlin

    Mwenge University College of Education

    mm natoka zanzibar.. na kiukweli nategemea kufika huko jumatano,,, vp itakua sijachelewa sana mkuu apo?
  5. Abou merlin

    Mwenge University College of Education

    mm nimepata, hebu tupe info kidogo about Mwenge university
  6. Abou merlin

    B.A in Geography and Enviromental Studies

    vp hali wana jf mwenzenu nategemea kwenda kusoma course hii Bachelor of Arts in Geography and Environmental Studies katika chuo cha mwenge university collage of education ​kipo moshi... vp kwa course hii naweza kudeal na ishu gan? au kuajiriwa iddara gan?
  7. Abou merlin

    Faculty gani yakusomea chuo kikuu (first degree)

    ndo ivo buddies nipeni ushauri
Back
Top Bottom