Recent content by Abnormal

  1. Abnormal

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Pwani na Dar; Tujuzane hali ilivyo maeneo yetu ili tuwe na taarifa za TAHADHARI

    Aisee hapa ni oloitoktoki ukiwa umetokea kimana Ila naona ata huko hivi karibuni mvua ilinyesha sana
  2. Abnormal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ida Odinga and the Wealth Debate in Kenya

    Duuh mimi nipo hapa kimana kwa sasa Kesho naenda Ambosel national park.
  3. Abnormal

    JamiiForums Tanzania GE2025 'System upgrade' ya Benki ya CRDB haisafishi Mafisadi?

    Hii taarifa wengi hatukupata tumekuja kuona tayari wameshaanza maboresho yao
  4. Abnormal

    JamiiForums Tanzania GE2025 'System upgrade' ya Benki ya CRDB haisafishi Mafisadi?

    Wamezingua haswa, jana kutwa nzima nimehangaika kuwasiliananao bila mafanikio mpaka saa saba usiku wa kuamkia leo ndio nikaongeanao. Ukweli tumeharibu sana kazi zetu kwa hizi siku nne sasa ni hasara kubwa kubwa sana tumepata.
  5. Abnormal

    JamiiForums Tanzania Kagua salio lako CRDB, kuna pesa hazionekani kwenye akaunti

    Yes ata kwangu pia kuna laki 7 siioni
  6. Abnormal

    JamiiForums Tanzania Mimi nilijua hizi siku 3 za bila huduma basi jamaa watarudi wakiwa kamili ila kumbe mambo ni yale yale. CRDB "popote utoporo"

    Hichi pia kimetokea kwangu aiseee, maana mwanzo sikuwa na taarifa kama kuna maboresho ile naona tangazo tayari nilikuwa napambana na miamala ya watu
  7. Abnormal

    JamiiForums Tanzania Mimi nilijua hizi siku 3 za bila huduma basi jamaa watarudi wakiwa kamili ila kumbe mambo ni yale yale. CRDB "popote utoporo"

    Aisee hawa jamaa itabidi walipe fidia kwa watu wote tulioathirika na haya maboresho yao, siku walizoweka bado mtandao haujakaa sawa mpaka sasa Wengine shughuli zetu zimesimama kwa sasa
  8. Abnormal

    JamiiForums Tanzania Serikali mkitaka mabasi ya mwendokasi yadumu nyie fungeni SPEED GAVANA

    Mkuu jaribu kufanya utafiti kwanza kabla ya kuleta humu mawazo yako. Zile bus za phase one nyingi zilikuwa zimewelewa limit ya speed (governor) na utumiaji wa limit kwa mradi ulikuwa ni mwisho 49 KPH au zingine zilikuwa 51 KPH sehemu yenye mteremko kama ubungo maji pale sio tena utadhibiti...
  9. Abnormal

    JamiiForums Tanzania Hivi mazoezi yanalainisha viungo vya mwili? Au ndio basi tena....

    Mtaalamu kama mtaalamu, mfunze awe kama ujanani
  10. Abnormal

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani hutengeneza betri imara za Magari madogo ukiachana na Cloride exide?

    0655311345 Wapigie kesho namba hiyo hapo ya mwembe chai pale Kwa sasa nipo nje ya mji kama wiki mbili hivi.
  11. Abnormal

    JamiiForums Tanzania Huyu kaka namjua ila sijui anafaidika na nini kuvaa mavazi ya kike na kwenda mahakamani

    Nyanya RUKIA🤣🤣
  12. Abnormal

    JamiiForums Tanzania Matapeli, Wapiga dili, Chawa na Wauza Unga wanatumia namba hizi, anayekanusha ama hajui au anatuona Wajinga

    Naona na CHAUMA PIA MWALIM 25 30 Hii imekaaje pia?
  13. Abnormal

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

    Kama Mr Mkumbo kathibitisha na wote ni wanyiramba wa kiomboi basi sina shaka juu ya hili. Mtani wenu Lisu ana nguvu za ajabu sana
  14. Abnormal

    JamiiForums Tanzania Kigamboni Puna viwanja kuanzia million 3

    Tuoneshe ramani ya huo mradi ambayo imesajiliwa na wizara ya ardhi ndugu, huko bamba napahitaji kwa ajili ya watoto kuwachukulia ardhi yao miaka ya baadae ije kuwanufaisha
  15. Abnormal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, huwa mnaharakia nini?

    Pole mamii, hebu njoo kwangu nikuandae kabla hata haujatoka kwenu uwe "umeshalowa" kabisaa Hao vijana umewakuza kwa kuwaita "wanaume" WANAUME TUPO ILA BADO HAUJATUFIKIA hao unaokutananao ni wavulana. Your are welcome my dear waifu material
Back
Top Bottom