Recent content by Abishola

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutengwa na marafiki?

    Hatari mno
  2. A

    JamiiForums Tanzania Yaani tukutane kimjini mjini harafu nikukabidhi tu simu yangu Umerogwaa?

    Uzi wa kibabe huu
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutengwa na marafiki?

    Nimeona pia kuna mchanganyiko na nimepitia thread iliyoletwa na jamaa sivani. Kumbe umomi na kigorohe ni maneno ya kikurya ,nilihuzunika baada ya kuona taarifa sasa hivi nipo tu sielewi .
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutengwa na marafiki?

    haha ngoja tuone huu utakuwaje
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka TTCL

    Wanakera hao Mara mia voda kuliko wao.
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutengwa na marafiki?

    Kama ulivyofanya wa meja kunta
  7. A

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mimi mmenikera mno nilitumia bando vibaya la mwezi nakuja kushangaa eti mmepandisha bei hivyo mpaka sioni pa kujiungia kabisa . Nimehamia voda mpaka nitakapoona nafuu huko kwenu .
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa picha za utupu (Pornography)

    Jamaa wewe
  9. A

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Kwa nini mmeweka bei kubwa hivyo Nahama bye bye tutarudi mambo yakikaa shwari ..
Back
Top Bottom