Hizi zingine Tamaa tu, hii ndio mijike tuliyonayo karne hii...inapenda kununuliwa nunuliwa vitu tu, na watu ambao sio waume zao, kwa nn usifanye hiyo kazi yako ofisini ukarudi kwako.
"Tatizo ni kwamba tunaandaa sera Nzuri ambazo ukizisoma katika mtindo wa nadharia Unaweza ukasema sasa baada ya Utaratibu wa uchimbaji kuanzishwa wananchi watanufaika sana, lakini mwisho wa siku inabaki kuwa nadharia tu, ni vyema utekelezaji wa Sera za Uchimbaji wa madini ukasimamiwa ipasavyo na...
Mi nadhani haya mambo hayana Formula kabisa, mtu anaweza akakukubali kwa kuridhishwa na hivyo vyooote ulivyoorodhesa hapo juu lakini ukakosa vitu vya msingi zaidi ndani yake....hata hiyo ku-look forth finger...unaweza vaa pete halafu ukawa haujaoa,,,, so ikawa mtazamo hasi...........Jambo la...
Vyema sana Mheshimiwa Waziri D.k HK kwa kufanya ziara takatifu,katika hospitali zetu ambazo zina mapungufu mbali mbali hususan katika utoaji wa huduma na mapungufu ya madawa na vifaa mbalimbali, pia watanzania tuwaunge mkono viongozi kama hawa wanaowajibika kwa ajili ya Wananchi........HAPA KAAAZ TU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.