Recent content by Abiola

  1. Abiola

    JamiiForums Tanzania Waraka kutoka Iringa: Sababu za Tundu Lissu kumshambulia Rais Magufuli hizi hapa...

    Maneno meeeengi.. inaonekana kabsa ww ni mwanaCCM msaka tonge
  2. Abiola

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mbowe, waenda NEC kuwasilisha malalamiko kuhusu Uchaguzi ubunge Jimbo la Kinondoni

    Ungekua na akili timamu, hata usingeuliza!!
  3. Abiola

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kakobe ni CHADEMA muda tu, ndio maana anaishambulia serikali ya CCM

    Mbona wengine wakisifia hamsemi ni wa CCM
  4. Abiola

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha sita 2017

    Bora wasingetangaza kwanza,,, huo mtandao unavyosumbua!!!
  5. Abiola

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, ni aibu jamani

    Nadhani we ndie mbumbumbu mkuu.. unadhani bunqe ni fashion show!!
  6. Abiola

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    kama heading inavyosema wana JF.. msaada kama ipo naomba nitumie humu. shukran [emoji117]abiolaabdallah@gmail
  7. Abiola

    JamiiForums Tanzania Ubora wa UDSM ni upi?

    kwa hiyo mkuu izo ndo tafiti zilizofanya UDSM?!!
  8. Abiola

    JamiiForums Tanzania Being in Njombe, ushawahi ishi, soma, fanyia kazi au hata kupita maeneo haya?

    Imebak stor tu mkuu..
  9. Abiola

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Saigon?

    (SAIGON)Huyu jamaa moja ya hip hop artists wakali kibongo bongo, mara ya mwisho nimemuona akihost dance% Yuko wapi na anafanya nini sasa hivi? Pia msaada jina la account yake ya instagram anaeijua wanaJF..✌
  10. Abiola

    JamiiForums Tanzania msaada wale wa st. joseph college of engineering

    Mekupata mkuu
  11. Abiola

    JamiiForums Tanzania msaada wale wa st. joseph college of engineering

    Thanx.. pia vip kuhusu maisha ya pale mana wengne wananiambia ni cost full. Kuna ukwel apo mkuu?
  12. Abiola

    JamiiForums Tanzania msaada wale wa st. joseph college of engineering

    Kwanza, Nimeshndwa kupata fee structure mpk sasa though wameshatuma joining instructions
  13. Abiola

    JamiiForums Tanzania msaada wale wa st. joseph college of engineering

    Wakuu.. naombeni mnijuze kuhusu St. Joseph, nimechaguliwa bs of civil engineering tafadhal
  14. Abiola

    JamiiForums Tanzania Msaada anayeijua Tanga Tech

    hamna shaka bro! Hao mbuni watanckia bomban 2,full ktabu...
Back
Top Bottom