Recent content by abina

  1. A

    JamiiForums Tanzania Crate za bia 48 zinauzwa

    niko mlandizi, naweza kuletewa kwa gharama yako ya usafiri?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kasi ya watumishi wa Mungu kufumaniwa kama huyu ,waumini tunapata funzo gani?

    kuwa mchungaji haina maana ya kuondokewa haki yake ya faragha. kipi ni kosa kwenye taratibu za nchi yetu endapo mchungaji ameamua kujihusha na mapenzi. hili ni shambulio la aibu, mchungaji atiwe moyo awashtaki hawa watu. kuna umuhimu wa serikali kuangalia utendaji wa haya magazeti kama...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CCM; Mh KINANA huwa hapokei MSHAHARA wala POSHO ndani ya CCM!

    yaani wasema shamba la bibi lipo, mshahara wa nini! je tunalipa vipi ulinzi shamba la bibi?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sijui Kwa nini sina furaha muda mwingi ni upweke tu moyoni wangu

    vilevi ni vipumbaza, hali inaweza kuwa mbaya zaidi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kupungukiwa na nguvu za kiume kunasababishwa na nini?

    nyongeza ya visababishi; 1.kiwango kidogo cha homoni za kiume, 2. kuwa na mafuta mengi mwilini 3. kuwa na BP, 4. matumizi ya madawa kama ya kuzuia depression (antidepressants),ya kupunguza maumivu n.k 5. kuwa na depression, 6.maradhi ya ubongo kama stroke. kwa ushauri...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wizi katika foleni

    nimeshaona kama mara mbili watembea kwa miguu wanalizwa, sio kwenye magari tu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Eneo zuri la kuendesha bar linakodishwa

    vipi grace period ipo?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wote tafadhali naomba mpite hapa

    kama upo dsm, ni pm tutete, mie nipo kibaha.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Viagra, sildenafil citrate niipate wapi?

    maduka karibu yote ya dawa zinapatikana, majina ya biashara ndio tofauti lakini composition zinafana. kwa mbadala (virutubisho) ni pm
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la nguvu za kiume

    viagra huwa zinafanya kazi kwa kuimarisha mzunguko wa damu, kwa hiyo kama tatizo sio mzunguko, viagra haiwezi kukusaidia. na maajabu unayoweza kuyaona ni kigegedo kupoteza network mara kwa mara. kwa ushauri/virutubisho ni pm.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la nguvu za kiume

    kitengo cha magonjwa ya akili
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    stress hupunguza hamu ya kugegedana
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tatizo la nguvu za kiume

    kwa uzoefu wangu, mwenye haya matatizo anaweza akawa na, 1.depression 2.kiwango cha chini cha homoni za kiume na 3.mzunguko wa damu sio mzuri. kwa hiyo ni vyema kujifahamu kwamba je una depression? je huwa unakosa hamu ya tendo la ndoa? na je kigegedo hakiko imara? ukiwa na uwezo wa kujibu hayo...
  14. A

    JamiiForums Tanzania S4 new

    s5 hazijaingia sokoni bado?
  15. A

    JamiiForums Tanzania kitimoto kwa wale wakristo yaani walaaji wenzangu

    hata kg 1, sehemu yeyote ya dsm?
Back
Top Bottom