Na hii ya wao kuachana nakurudi” unajua wanawake akikaa na wewe akakuzoea ataleta mazoea haijalishi una bunda au laah!!! Unaweza kumpa kila kitu na bado akaenda kulala na jamaa mmoja mzembe tu” ukiamua kumuacha ukaondoka apo ndo shida inaanza anakuwa hakupendi ila zile moment na memories ndo...
Hawa gen Z ndo wameharibu hii dunia walahi😂😂 mambo yao rahisi sana yani unakutana na kadada asubui jioni unaweka🙌🏼 sasa kwa mazingira hayo mwanaume hawezi kusumbuliwa maana kupata sex ni easy na ndo kikubwa wanaume tunataka, tofauti na zamani pussy ndo iyo iyo moja mtaa mzima mnafukuzia demu...
Sikiliza man unzingua!!! Power uliyo nayo unapaswa kujua wewe ndo mume wa huyo mkeo” wewe unahisi kwenye ndoa power ni pesa tu? Simama kiume wanawake hawapendi wanaume waoga na wanaolialia unataka umuhakikishie ulinzi sasa wewe uwoga umekunaa sijui pesa sijui magari😂😂 unafeli huyo mke mpaka...
Wewe umekubalije kuletewa izo zarau mkuu?? Next time mwanamke kama mmekosana kaenda kwao marufuku kumfata kaa kimya endelea na maisha mzee!!!! Huo ni uzaifu mkubwa umeonyesha your a man, be a man.
Kama unaweza, hakikisha kila siku asubuhi unapata kijiko kimoja cha asali kabla ya kula kitu then hakikisha unakimbia angalau kilomita 2 mpaka tatu asubuhi sana na jasho hakikisha linatoka la kutosha.
Usifanye mapenzi kwa muda kidogo, angalau week 3. Kama unapiga nyeto, acha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.