Recent content by ABIBU CHENGULA

  1. ABIBU CHENGULA

    Kila gari inapoanguka dereva anakimbia abiria

    Watu wanaweza chukua sheria mkononi kwa kumusaka popote alipo OKW BOBAN SUNZU, Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ABIBU CHENGULA

    RC Makonda amuomba Waziri Dkt. Kigwangalla kuachana na mitandao!

    Kigwangala bado namuunga mkono kwa kujibu mitandaoni,kuuchuma tu ni kuihakikishia jamii zimeibwa kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ABIBU CHENGULA

    TCRA mmezidiwa nguvu na kampuni za mitandao ya simu?

    Mimi mwenyewe Mke wangu hajapata namba ya NIDA lakini line haijafungwa mpaka sasa,mpaka naona usalama kwa wenye tabia mbaya ni Mdogo sana kama ni wengi ambao hawajasajiliwa na kutofungwa line Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ABIBU CHENGULA

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Hivi Startime kwanini munatunyanyapa wenye ving'amuzi vya dishi dhidi ya ving'amuzi vya antenna wenye antena wanapata clouds sie wenye madishi hamujaturudishia clouds na king'amuzi cha antenna ni bei ndogo sana kuliko cha sie wenye dish lakini bado sie wenye dish ambalo ni labei juu hutuipati...
  5. ABIBU CHENGULA

    Naomba ushauri nichukue king'amuzi gani kati ya DStv, Startimes na Azam TV

    Sh 18000 ila ni ligi ya Hispania Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ABIBU CHENGULA

    Naomba ushauri nichukue king'amuzi gani kati ya DStv, Startimes na Azam TV

    Chukua azam mie natumia Startime changamoto haina clouds azam azam lakini ina Chanel utv Habari sambili huwa na enjoy sana nikienda bar kutizama,jingine ligi ya ndani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ABIBU CHENGULA

    Huyu ndiye mkulima aliyesababisha ndege yetu ikamatwe

    Huyu anatudai kiasi gani cha pesa? na kilitokana na nini?
  8. ABIBU CHENGULA

    Maelfu wamchangia Mbowe katika kampeni ya #MwambaTuvushe ya kumrejesha madarakani CHADEMA

    Hajawambia wachangishane wameamua wenyewe ubabe wake katika hilo ni upi?
  9. ABIBU CHENGULA

    Serikali haitambui adha ya gharama kubwa ya chakula kwa wasafiri wa mabasi?

    Hasa hotel moja barabara ya Lindi gharama balaa bora ng'ambo ya barabara wale washikaji bei zetu wamezingatia sana,nikishuka tu katika bus mbio chini ng'ambo ya barabara
  10. ABIBU CHENGULA

    Tupeane michongo ya ajira

    dogoodesign Ok
  11. ABIBU CHENGULA

    Hivi Serikali imeamua kabisa watu wafe kisa Miradi?

    Awamu iliyopita nayo kuna mambo ililalamikiwa mno,kumbuka ya ulimboka kumbuka walimu wamewahi kutangaza mugomo,awamu hii sijasikia mgomo,SOMA USITEGEMEE KUAJILIWA SIE WA LA SABA TUNALIMA NJOONI TULIME WOTE
  12. ABIBU CHENGULA

    Madereva wa zamani wa DC Kilolo, Asia Abdalah wazungumzia vituko vya bosi wao

    Pombe wote?,ingawa sio kichaa kufukuza fukuza watumishi wa serikali,Muda mwingine wanakela watataka wanavyotaka wao kadri walivyozoea awamu zilizopita,mf. Anaambiwa kajaze mafuta ya lak dereva anajaza ya sabini,thelathini kushoto sasa mama anaingia shely mwenyewe fitina zinaanza
  13. ABIBU CHENGULA

    Dar es Salaam mkoa unaongoza kwa wanawake kuwa na Vitambi

    Sio kitambi ni tumbo kubwa kwa mwanamke
  14. ABIBU CHENGULA

    Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    Nakupongeza kwa kuwa unakumbuka kulilipa,huo mtihani sio wewe tu,wengi tuna hilo tatzo bora wewe deni kwa mtu sie wengine bank rejesho lak5 mwezi bado miezi10
  15. ABIBU CHENGULA

    Kitendo cha RC Anthony Mtaka kubatilisha maagizo ya DC Bariadi si cha kawaida

    Lakini hako kakifaa si laisi kibaka kukaiba,ni watumishi wenyewe
Back
Top Bottom