Recent content by Abelyon

  1. A

    IILICIT DRUGS

    "To eradicate Illicit Drugs you need to deal with Barons, The Mules will disappear automatically and vice versa in not true." By Abel Elibariki
  2. A

    DONALD L TRUMP.

    Ur to emotional comrade! Suala sio sheria tatizo ni jinsi ilivyowasilishwa na kupokelewa na jamii za ndani na kimataifa. Amefeli kwa kitu tunachokiita LOBBY kama kiongozi wa taifa kubwa.
  3. A

    Donald Trump 2016

    DONALD TRUMP EXECUTIVE ORDER ON IMMIGRATION. Na Abel Elibariki. Siku chache baada ya kuapishwa kwa Rais wa USA Ndugu Donald Trump, katika hatua zake za kutekeleza ahadi yake ndani ya siku 100 kama ilivyozoeleka kwa kiongozi yeoyote wa ngazi ya juu serikalini anaposhika hatamu. Moja ya hatua...
  4. A

  5. A

    Tuyaenzi mapinduzi ya Zanzibar( Mapinduzi ya Afro-Shirazi Paty) January 12 ,1964

    TUYAENZI MAPINDUZI YA ZANZIBAR( MAPINDUZI YA AFRO-SHIRAZI PATY) JANUARY 12 ,1964. Awali ya yote niwapongeze viongozi na watu wote wa Zanzibar na Tanzania bara ( Tanzania) kwa kuendelea kulinda na kudumisha Mapinduzi ya Zanzibar. Ni vema zote tukajua kuwa Maandalizi na mipango ya watu wa...
  6. A

  7. A

    USAFIRI WA UHAKIKA

    PATA USAFIRI WA UHAKIKA KUTOKA KWA CORPORATE TOUR. Katika kipindi hiki cha sikukuu Corporate Tour inakuletea usafiri bomba kwa ajili ya WEDDING, KITCHEN PARTY,SENDOFF na TOURS na sherehe mbalimbali kwa wewe mkazi wa Dar es Salam na Viunga vyake. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa...
  8. A

    USAFIRI WETU

    PATA USAFIRI WA UHAKIKA NA MAGARI YA KIFAHARI KUTOKA KWA CORPORATE TOUR. kwa ajili ya hafla kama WEDDING,KITCHEN PARTY, SENDOFF,HARUSI N.K kwa bei nafuu kabisa kwa wewe mkazi wa Dar es Salam na Viunga vyake.( LANDCRUSER V-8, MERCEDEZ BENZ,CROWN,VILLFIRE ,NOAH,COASTER NA ALPHAD) Kwa mawasiliano...
  9. A

    USAFIRI WAKO

  10. A

    Maadhimisho ya miaka 55 kufanyika katika uwanja wa Uhuru

    UHURUDAY. Hongera Rais wetu wa JMT Mhe.Dr John Pombe Magufuli kwa kuendelee kuenzi uhuru wetu kwa kujenga Taifa lenye Umoja na Jamii yenye misingi ya haki na usawa kwa binadamu wote. Pamoja na kuamini kuwa uhuru wetu uwe uhuru wa kujenga uchumi wetu na kuamua mambo yetu kwa maslahi ya watu...
  11. A

    Rais Magufuli anafuata nyayo za Baba wa Taifa Mwl Nyerere

    soma vizuro andiko langu
  12. A

    Rais Magufuli anafuata nyayo za Baba wa Taifa Mwl Nyerere

    soma vizuri andiko langu
  13. A

    Rais Magufuli anafuata nyayo za Baba wa Taifa Mwl Nyerere

    Sina taarifa hizo ila serikali yetu tukufu ya Rais Magufuli haiwezi kufanya hivyo. Na kama imefanya imefanya pakiwepo na sababu maalum na sio vinginevyo
  14. A

    Rais Magufuli anafuata nyayo za Baba wa Taifa Mwl Nyerere

    Hilo linafanyiwa kazi la kuweka utaratibu wa wakazi kupata baadhi ya vifaa vya ujenzi.
  15. A

    Rais Magufuli anafuata nyayo za Baba wa Taifa Mwl Nyerere

    Tumeangalia machache tu aliyowahi kusimamia mwalimu nyerere na magufuli anasimamiaje hatumfananisha kwani hawafanani kutokana pia na vipindi vyao vya kuongoza nchi ni tofauti
Back
Top Bottom