IILICIT DRUGS

IILICIT DRUGS

Abelyon

Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
31
Reaction score
6
"To eradicate Illicit Drugs you need to deal with Barons, The Mules will disappear automatically and vice versa in not true." By Abel Elibariki
105027c313bb70f601272baf4f8e49e3.jpg
 
Eee! Mungu, tunusuru na hili janga.
 
Huko SA baadhi ya wabunge wanabwiya kwanza kabla ya kuingia bungeni. Cocaine siyo mchezo mchezo. Watumiaji ambao haijaanza kuwadhuru inawasaidia sana kuongeza ubunifu wao. Cocaine inakufanya uwe na original thoughts. Ni kama vile inasaidia mtu kuwa creative kwa kiwango cha juu. Hakuna aibu, hakuna kuogopa kufanya vile unaamini ni sawa. Hii ni kweli hususani kwa wasanii. Wao ni watu wabunifu wanahitaji kuwa na sharp mind muda wote sasa wakikosea wakatumbukia kwenye matumizi ndiyo hivo tena wanapatwa na urahibu na mwisho huwa ni kifo. Nakumbuka Oprah Winfrey naye alikuwa mrahibu wa crack cocaine lakini alijisalimisha akaomba msaada kwa jamii sasa hivi ni miongoni mwa few black women billionaires.

Kwa maoni yangu hili tatizo la illicit drugs halitaisha kwasababu watu wanaotumia drugs kali wanafanya hivyo kwasababu mbalimbali. Kunawanaotumia drugs kwaajili ya kupunguua maumivu na hapa ukumbuke hata utumiaji wa dawa kali za Hospital kwa muda mrefu ni urahibu na haina tofauti sana na watumiaji wa coce au meth au Heroin.

Illicit drugs zitaendelea kuwepo na kutumiwa. Muhimu tuendelee kuelimisha vijana na wazee pia kusiwe na watumiaji wapya wa illicit drugs.
 
Maajabu yake ni kuona watu (vijana) wakijiingiza na kuanza kutumia ilihali wanapata kuona mifano hai ya wale ambao tayari wameahirika wanavyo zidi kuteseka na kutokwa na utu wao!!!!
 
Back
Top Bottom