Naitwa abel kikimba,umri wangu ni miaka 26,elimu yangu ni form six na vyeti vyangu ni vizuri kabisa ,nimeshindwa kuendelea na elimu ya juu kwa kukosa pesa na msaada,hivyo nawasilisha ombi la kazi ya ualimu kwenu,kwa masomo ya english,history,pia sayansi,uwezo wangu ni mzuri katika kufundisha na...