Huko ni kwenda kutonesha vidonda vya watu ambao tayari wamesha anza kusahau matatizo where he was been wakati matatizo Mh rais ameenda kushughuli zake huko sio kuto pole
Hivi kumbe Nchii inawapiga dili wengi ndio maana mna lalamika pesa hakuna ni hatari sna
Mama lishe wapiga dili
Bodaboda wapiga dili
Machinga wapiga dili
Makonda na madereva wapiga dili
Wauza mboga mboga wapiga dili
Kweli Nchi yetu hilikuwa imefika pabaya lakini swalo je? Mipga dili niyule...
Pole watanzania wenzangu ambao mliamini Mh Magufuri ni bora zaidi ya chama chake na mkaaminishwa nijembe tinga tinga burudoza mkapa majina mengi mazuri na mkasahau kua ccm awana jipya kwa Taifa letu
Huu ni wakati wa watanzania kujifunza na kuacha kejeri kwa vyama vya upinzani hivi kweli hadi...
Andiko lako refu lakini halina maana ccm hitatoka madalakani na itatolewa na wananchi awa awa ambao mnawaona marofa,washenz ,wajinga , wapumbavu watu wasio n mwelekeo Mme kuwa mkidharau maoni na mawazo yao
Rasimu ya katiba mpya ambayo hilikuwa na rafiki kwa wantazania wote imedharaulika na...
Akili ndogo inatawala akili kubwa kweli wao wanafikiri kumhuweka ndani Mh Lema ndio chanzo cha kupata jimbo la Arusha mjini watu wanataka mabadiliko katika maeneo yao unapo mhuweka ndani mpigania haki zao tambua unachochea chuki na hasiri dhidi ya serikali hiliyo madalakani
Akili kubwa haiwezi kutawala akili ndogo mtoa post naamini wesio mwanachama wa CHADEMA wewe ni kibaraka wa genge la watu Fulani hadi taarifa kuenea za kupotea kwa Kamanda Ben wana chama na makamanda wote wa Chadema hawaja sikia tofauti yoyote kati ya Kamanda Ben na viongozi wa chama chake
Kama...
Binafsi naona ni sisi vijana wote ambao tuna simama na kupaza sauti kwa kuhoji mambo ya msingi yanayo litafuna Taifa letu wakati wao hawataki kosolewa na pia ni vijana ambao tume diriki kuenzi na kufanyia kazi kauli ya ayati baba wa Taifa mwl Nyerere vijana tunapaswa kuhoji maswala ambayo ni ya...
Mabula ni mnafiki alipo kuwa kaimu meya wa Jiji la Mwanza 2010/2015 alikuwa akiwachukia sana machinga alikuwa akingombana sana na wenje kisa machnga Leo hii anajifanya anumia sana na kuwatupia lawama viongozi wenzie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.