Hahaha anachukulia faida kuwa ndugu zake upande wa mama yake wapo kijiji cha Kidete kilometa 7 kutoka Dumila kuelekea Kilosa , alisoma Kidete - Berega kabla baba yake kuhamia Mvumi, in short wazee wa zamani wanamfahamu vizuri.
competent ya mtu hupimwa kwa maneno inapimwa kwa flow of facts kama hujui utaongea nini unaishia sifa za kijinga tu. Nina wasiwasi IQ yako ni substandard
Una uhuru wa kuandika unachokifiria based on your IQ mimi nimesoma na watu waliomaliza udsm mamtoni ilikuwa aibu kupanda kwenye podium kufanya presentation ana shake mwanzo mwisho na wazungu wanaishia pardon several times and the likes. Jaribu kupata exposure don't narrow your mind.
Sina uhakika na Jumuiya ya Ulaya but i happen to be in New Zealand and Australia nilkuwa natumia Lesen yangu ya bongo kama kawaida ila ilvo expire ndio nikakata ya nchi husika , kifupi Lesseni ya udereva toka tz unaitumia nchi yoyote ya commonwealth.
Sidhani kama upo sawa kwangu mimi chuo ni choice ya candidate mwenyewe na sio kufuata mkumbo wa watu. Mfano linganisha havard na California institute of tech ingekuwa bongo ungeona wanafunzi wengi wanakimbilia havard kwa ajiri ya jina kubwa lakini kwa wenzetu ni tofauti and the likes.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.