Recent content by abdulwakil

  1. A

    Ziara Ya Rais Magufuli Pwani: Yaliyojiri kutoka Viwanja Vya Bwawani Kibaha Mjini

    Fanya kazi Mzee lakn hatutoridhika hadi mgogoro wa Zanzibar utatuliwe
  2. A

    Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Acha upuuzi bhana we lisu,,utampondaje raisi kwa hilo ,,kama mzalendo lete njia sahihi ya kulimalza
  3. A

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo

    Apoapo muheshimiwa,,,wakiletaga mazoea katika kazi watumbue tu,,,,hapa kazi tu
  4. A

    Kuchepuka raha

    Nyote mnakosea,,,ila we mwanamke utakua unakosea zaidi,,,bhana ss wanaume in tofauti na nyny,,maana sisi tunatamani wanawake wenye maumbile tofauti
  5. A

    Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

    Hapo naipongeza wizara ya katiba,,,,maana Zanzibar ni nchi ya kiislamu,,,hivyo wasio waislamu wakitaka kuishi Zanzibar lazima wayaheshimu matukufu ya kiislamu
  6. A

    RC wa Kilimanjaro, Meck Sadiki na Majaji wawili Wajiuzulu. Rais Magufuli aridhia...

    Siwezi comment kwa sasa ,,,sababu sjajua sababu za kujiuzulu kwao
  7. A

    Uchumi wetu Tanzania

    Hivi jamani kwanini sisi waafrica Sikh zote tuko chini
  8. A

    Nahisi hili jitu linachukua msichana wangu

    Mimi binafsi siwezi vumilia jambo kama hilo,,eti opposite sex wanaishi pamoja comfortably alafu mm in assume hakuna kinachoendelea!!!
Back
Top Bottom