Recent content by abdulrahmana

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je! ni kweli dunia inazunguka jua?

    Unaweza vipi kuujua ukweli kupitia sayansi ?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Kila anaetetea mada,ana anaanza "mimi nadhani" mara "Mimi nahisi" ilimradi tu tafrani,kama unahisi au unadhani si ukae kimya uwaache wenye kujua,sababu ukiulizwa swali huwezi kujibu.Hapa hatuzungumzii siasa za kidemokrasia zile za mtu yuko huru kumchagua anayemtaka. Tubadilike haya si...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Mnapo feli nyinyi kutuletea sisi mafikirio na dhana badala ya ukweli halisi.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Embu nipe picha ya hao masela walikaaje ? Ili utusaidie na sisi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Uchawi ni nini na ndoto ni nini ? Msaada tafadhali.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Andika maneno matatu yenye ujumbe mkubwa

    Mche Mola wako
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nambari hizi huandikwaje kwa Kiswahili,11,000 na 10,001

    11,000 = Elfu kumi na moja 10,001 = Kumi elfu na moja
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu laana (Curse)

    Unapoambiwa ni adhabu unaelewa nini ? Laana ni adhabu kwahiyo anajua Allah atakavyokuadhibu kwani yeye ni mjuzi wa kuadhibu.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu laana (Curse)

    Sasa mbona unachanganya mada mzee ? Suala ni uwepo wa laana au mpaka nimuone ? Kwa akili ya kawaida mwenyewe jijibu mzee.Sasa utamtambuaje ? Kwa macho huwezi kumtambua suali ni sawa sawa na kuuliza je unaweza kumjua mwanamke aliyeachika kwa kumtazama ? Jibu ni huwezi. Haya,unataka kusema nini...
  10. A

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kusoma Engineering Tanzania ni kujipunguzia siku za kuishi

    Mleta mada atakuwa sio mhandisi bila shaka.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu laana (Curse)

    Nani amekwambia laana inatoka kwa baba na mama au watu wa karibu tu ?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu laana (Curse)

    Laana ipo mzee kama unabisha jaribu uone.Laana ni adhabu apeyo mtu baada ya kudhulumu nafsi ya mwenzie yaani kumfanyia ubaya au kumkosea Allah. Kuna laana itokayo moja kwa moja kwa Allah kama vile laana aliyopewa ibilisi na kuna laana ambayo unakuta mja fulani amemdhulumu mja mwenzake,sasa yule...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Inauma sana kumpenda mtu asiyekupenda

    Na inauma zaidi kumpenda mtu asiyekupenda halafu akawa anampenda mtu mwingine.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kuwatambua waliofeki elimu/vyeti huitaji kwenda mbali...Angalia uwezo wao wa kuongea Kiingereza!

    Halafu kuijua lugha sio lazima uwe unaiongea vizuri mzee.Elimu ya lugha ina mawanda mapana sana.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Kuwatambua waliofeki elimu/vyeti huitaji kwenda mbali...Angalia uwezo wao wa kuongea Kiingereza!

    Sio kweli wala sio lazima na ni makosa kumlaumu mtu ambaye amefika chuo kikuu akawa hana kiingereza kizuri.Kuna vitu vingi umesahau ulipokuwa unawasilisha mada yako. Lazima ujue ya kuwa je kiingereza ni lugha ya ngapi katika eneo husika. Pili lazima ujue ya kuwa kiingereza ni lugha ya...
Back
Top Bottom