Recent content by Abdullah01

  1. A

    single mothers wengi wameachiwa watoto wa kike

    Ni kuchukua tu tahadhari mapema, usije ukajinyima au kuteseka kisa ada ya mtoto wa kike anayelelewa na single maza. I assure you kuwa huyo mtoto akishakuwa mtu mzima na hana kazi still ataendelea kuwa karibu nawe hasa kama unamsapoti. Lakini akishafanikiwa kupata kazi hutokuja kupata hata mia...
  2. A

    Natafuta Mchumba (mke mtarajiwa): Makazi Mbeya mjini

    Hapana sijafanikiwa hadi dakika hii. KARIBU SANA MKE MTARAJIWA.
  3. A

    Natafuta Mchumba (mke mtarajiwa): Makazi Mbeya mjini

    Ni kwa vile nimejiandaa tayari. Ujue kusema mwanamke umpate ukae nae uchumba mwaka au miaka miwili au mitatu eti mnachunguzana tabia ndio umuoe hiyo it can't work. Huko ni kupotezea muda mtoto wa watu. Mwanamke just in one day or a week ukiwa smart unajua tu kuwa huyu atafaa au nitapoteana...
  4. A

    Natafuta Mchumba (mke mtarajiwa): Makazi Mbeya mjini

    Kichwa cha habari cha husika hapo juu. 1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah. 2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia. 3. Natafuta mwanamke kwa maana ya Mchumba ili ikimpendeza Allah basi tuweze kufunga ndoa mwaka huu tuishi...
  5. A

    Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

    Yaani wanawake wa kichaga ni nuksi sana . Anapokuwa anasaka pumziko la moyo unaweza sema ni malaika! To me I consider Chaga woman like a toxic cancer! Hawa viumbe wao wapo kimaslahi zaidi! TEAM KATAA NDOA 💪💪
  6. A

    Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

    Yaani we mshangazi wa kichaga unapanga kabisa na mwaka wa kuolewa yaani 2024? By the time ukiwa unavutia ukiwa 20 to 25 ulikuwa wapi? Ulikuwa unachagua handsome? Now kwisha habari yako! Maana elimu yako ni Diploma, so meaning kuwa sio shule ilikubana la hasha but now huna mwendo ndio unataka...
  7. A

    Nyuki wananisumbua sana - Naomba MSAADA wenu

    Habari zenu ndugu zangu. Hapa ninapoishi kuna nyuki wapo ndani ya ceiling board. Nimeshawahi kupuliza dawa ya Rungu na kuwaua wote. Lakini kila bàada ya muda mfupi mfano mwezi wanahamia nyuki wengine, napuliza dawa wanakufa, halafu baada ya muda wanakuja wengine. Hawa waliokuja awamu hii ni...
  8. A

    Yajue mafao ya viongozi wa kisiasa

    Kama mafao na malupulupu ndio hayo basi nakusudia kugombea nafasi ya Urais wa nchi na naomba Mungu anisaidie ili ndoto yangu itimie
  9. A

    Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

    Tuombee tu Mungu aingilie kati maana hapa hatuna mtu
  10. A

    Wife material only Kanda ya ziwa

    Habari wapendwa wote hapa jukwaani. Najitokeza kutafuta mke wa maisha yangu. Natamani kuwa na familia bora yenye upendo na furaha. Familia bora huanza na mama bora, pamoja na majukumu thabiti ya baba kujali na kutunza / kuhudumia familia yake, bado nafasi ya mama bora kujenga umoja na upendo...
  11. A

    Vipi Rais Samia akimwalika Mbowe Ikulu ili wazungumze kuhusu Mkataba wa DP World?

    Mimi nashangaa sana nchi hii jinsi watu walivyoipigania Hadi kupatikana kwa Uhuru. Uhuru wa kuongea tulikuwa nao toka enzi mkoloni lakini tulikataaa ukoloni wa kunyonywa/exploitation of our national resources. Kumbuka mwaka 1978 Tanzania ilivamiwa na Nduli Iddi Amini Kule Kagera na ilikuwa...
  12. A

    CCM Zanzibar yamfuta uanachama Balozi Ali Karume

    Mimi nashangaa sana nchi hii jinsi watu walivyoipigania Hadi kupatikana kwa Uhuru. Uhuru wa kuongea tulikuwa nao toka enzi mkoloni lakini tulikataaa ukoloni wa kunyonywa/exploitation of our national resources. Kumbuka mwaka 1978 Tanzania ilivamiwa na Nduli Iddi Amini Kule Kagera na ilikuwa...
  13. A

    Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana Dar es Salaam

    Mimi nashangaa sana nchi hii jinsi watu walivyoipigania Hadi kupatikana kwa Uhuru. Uhuru wa kuongea tulikuwa nao toka enzi mkoloni lakini tulikataaa ukoloni wa kunyonywa/exploitation of our national resources. Kumbuka mwaka 1978 Tanzania ilivamiwa na Nduli Iddi Amini Kule Kagera na ilikuwa...
  14. A

    Kama Mkataba wa Korosho tu hapo Kenya tulipigwa mbele ya Prof wa Sheria Kabudi ndio itakuwa Bandari mbele ya Johari?

    Mimi nashangaa sana nchi hii jinsi watu walivyoipigania Hadi kupatikana kwa Uhuru. Uhuru wa kuongea tulikuwa nao toka enzi mkoloni lakini tulikataaa ukoloni wa kunyonywa/exploitation of our national resources. Kumbuka mwaka 1978 Tanzania ilivamiwa na Nduli Iddi Amini Kule Kagera na ilikuwa...
  15. A

    Stesheni 1979: Wazazi Mashujaa waliokufa Wamekufa kishujaa na Waliorudi Wamerudi Kishujaa Lengo na Nia yetu kuilinda Ardhi ya Nchi yetu!

Back
Top Bottom