Recent content by abdulkarim harub mzee

  1. abdulkarim harub mzee

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    alihukumiwa kifungo cha maisha ila kwa taarifa nlizopata alijiua alipokua gerezani kwa msongo wa mawazo
  2. abdulkarim harub mzee

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    Habari ndugu, naendelea na uchunguzi wa jambo hili kiundani zaidi kuhusiana na wahusika wengine kiundani zaidi kwa sababu kuna uhusika wa sababu nyengine ambazo zipo nyuma ya kivuli cha ugaidi
  3. abdulkarim harub mzee

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    Ni miezi sasa imepita toka nitoe chapisho langu mnamo mwezi wa nne mwaka huu 2020 kuhusiana na dalili za kuenea kwa Salafi Jihadi nchini Tanzania. Chapisho langu la mwez wa nne lilileta picha tofauti tofauti kulingana na aina ya wasomi na wachambuzi wengine na huku baadhi ya wananchi...
  4. abdulkarim harub mzee

    Vita ya Al Shabaab na Ahlul Sunna Wal Jamaa, dhana ya Ugaidi na ulafi wa Madaraka uliojificha chini ya kivuli cha Uislam

    AHLUL SUNNA WAL JAMAA Vs AL SHABAAB Mapambano kati ya Ahlul Sunna Wal Jamaa yalipata moto kuanzia Novemba 1 mpaka Disemba 16 mwaka 2008 katika mji wa Galgaduud uliopo katikati ya nchi ya Somalia na uliopo maili 230 kutoka mji mkuu Mogadishu. Katika mapigano hayo kila kundi lilikua linatumia...
  5. abdulkarim harub mzee

    Vita ya Al Shabaab na Ahlul Sunna Wal Jamaa, dhana ya Ugaidi na ulafi wa Madaraka uliojificha chini ya kivuli cha Uislam

    CHIMBUKO LA AL SHABAAB, VITA YA AL SHABAAB VS AHLUL SUNNA WAL JAMAA NA DHANA YA UGAIDI CHINI YA KIVULI CHA UISLAM Naam Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakat, Katika nakala na machapisho yaliyopita nlieeleza kwa uchache dalili za kuenea kwa Ugaidi nchini Tanzania. Na pia kuna baadhi ya...
  6. abdulkarim harub mzee

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    Naaam nimekuja kidogo na taarifa ya wiki iliyopita kutoka BBC swahili
  7. abdulkarim harub mzee

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    Naaam kaka,umeongea vizur saana. Katika kambi moja huko Syria baada ya wapiganaji wengi wa ISIS kukamwatwa walihojiwa na wengi wao walikuua hawaujui uislamu vizur huku idad ya wastan walikua wameslimu na hwana hata mwaka mmoja ktk uislam, hivyo bas hii inaeleza kua wengi hudanganywa saana...
  8. abdulkarim harub mzee

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    Naam hio ndio njia kuu ya kuwahadaa Waislam duniani waje kujiunga kupigana na makafiri lakin chini ya kapeti kuna lengo ambalo wanalitaka, kila kundi lina maslah ambayo wanayatarget ndo maana makundi mengi ya kiislam nchini Syria yalianza kupigana wao kwa wao.
  9. abdulkarim harub mzee

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    Ndio kaka Ahlul Sunna Wal Jamaa ndio waliowapiga Al Shabaab na kuchukua Galgaduud kua himaya yao wakat hapo mwanzo ndo ilikua moja ya ngome za AlShabaab
  10. abdulkarim harub mzee

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    Kaka nkufahamishe vizur kuhusiana na makundi hayo ukiachana mbali na sharia kuna maslah binafs makundi hayo yanataka ndo maana Al Qaida anampinga ISIS japo hawashambuliani lkn pia hawapatani vilevile.
  11. abdulkarim harub mzee

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    ndio kaka wapinzani wakubwa wa Al shabaab ni Ahlul Sunna wal Jamaa
  12. abdulkarim harub mzee

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    hahah kweli kiongozi Tanzania tupo vizuri saana
  13. abdulkarim harub mzee

    Uwezekano wa kuenea kwa salafi jihadi nchini Tanzania

    NAJARIBU KUELEZEA KUTOKANA NA MATUKIO YANAYOTOKEA KATIKA NCHI MAJIRANI, NA PIA VILEVILE NIMESEMA ÚWEZEKANO" . NA PIA KAANGALIE MIAKA ILIYOPITA . SIKUSEMA TANZANIA KUNA KAMBI ZA KIGAIDI JIULIZE MBONA TANZANIA TULIKUA TUNAONGOZA KWA KUA NA WAPIGANAJ WA AL SHABAAB SOMALIA. NINGEPENDA ULIFUATILIE...
Back
Top Bottom