Recent content by abdulian

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Paul Biya wa Cameroon adaiwa kufariki Ulaya

    Eto'o chukua form chap
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kadogosa amuondoa Meneja wa TANROADS Songwe kutokana na kusuasua kwa upanuzi wa Barabara Tunduma

    Aje na Manyara madudu ni zaidi ya hayo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kifo ni kifo tu, kauli iliyoligawa taifa. WanaCCM wakifa nashauri msiwahukumu kwa makosa ya Samia.

    Jana kaondoka diwani,hatufurahii ila mpk jambo letu litimie labda tutafikiria ombi lako
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mawakili, huu si wakati wa unyonge, bali wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria

    Upuuzi mwingi sana nchi hili,ccm hawakujifunza kwa KANU na ANC?maana roll model wao alikuwa ANC ila last election alikiona mpaka kuunda sirikali ya umoja
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Mikoa 10 Tajiri na Maskini wa kipato Tanzania kwa mwaka 2025

    Kweli kabisa kama sahizi tupo migodini na mashambani na jua lote,ila Kuna maeneo nchini watu wapo vibarazani wanacheza bao
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Mikoa 10 Tajiri na Maskini wa kipato Tanzania kwa mwaka 2025

    Kaskazini kama Kawa wote wanne ndani,ndo maana Joshua Nasri alisemaga tujitenge enzi akiwa na akili
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: John Pambalu kupewa kesi ya Uhaini

    Kutapambazuka tuu!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Makonda kamrithi Mwigulu?

    Atakuwa alitamani sana Ile nafasi ya Manu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nchimbi vs Ndejembi: Kwenye international stage, nani anaiwakilisha Tanzania vizuri zaidi?

    Hakuwa ameapishwa hakuwa na mamlaka
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nchimbi vs Ndejembi: Kwenye international stage, nani anaiwakilisha Tanzania vizuri zaidi?

    Tukiwa rank ma vp kuanzia enzi za Nkapa 1.Omar 2.Mpango 3.Nchimbi 4.Shein 5.Ghalib 6.Mtajeni
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Hakupaswa hata kuelezea hayo, otherwise apatikane mmoja wa kwenda kutandika viboko kaburi lake.Unamuaminije mkwere na mmasai?Nashindwa kuelewa
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ilishindwa kutoka madarakani mwaka 2015 , basi msitegee ikatoka madarakani tena

    Waambie wajitenge na Dola waone watakavogaragazwa mapema asubuhi
  13. A

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanaomzungumzia Wanu na Abdul, hawajawahi kukutana nao

    Japo kwa magu watu walijikomba ila kwa huyu imekuwa too much,Bure kabisa
  14. A

    JamiiForums Tanzania UAE (Dubai) hakuna mfumo Demokrasia, pia Hakuna NGOs ila wananchi wana-enjoy maisha

    Siku tukiiondosha ccm tutaizidi dubei
  15. A

    JamiiForums Tanzania Makonda kufyatua Jezi mpya zenye nembo ya Mama?

    Ule usemi "aibu utaona wewe"ndo upo Tz
Back
Top Bottom