Habari waungwana. Naomba mwenye taarifa 2juzane. Tbc walitanangaza nafac tofaut ikiwemo system analyst II, wiki iloisha waliita kwa usaili kada zingine kupitia utmishi ila hii sikuiona. Vp kwani walishaitwa usaili? Taarifa pls.
Habari za jioni wanajamvi.
Naomba kuuliza mwenye taarifa ya majibu ya oral interview ya pccb, mwanzoni niliambiwa wiki 2 baada ya interview sasa ni mwezi kasoro, tafadhali mwenye update atusaidie.
Nawasilisha
Hiyo mbona afadhali !?! Post Ya System Analyst-II wameita wa2 213 wanataka m2 mmoja. yani hadi raha na mtihani wenyewe mgumu. kila sentence/mstari una neno "system analyst", wa2 2mesoma ram na cpu lkn wapi. patamu hapo.
Vp baada ya interview trh 14, watatoa majibu baada ya muda gan? Kwa mwenye kujua 2juze tafadhal maana si wakat wote tunakua online. Tusije kosa kama ilivokua udom
Huyu mahweso ni mwanasheria wa ndoa hajui maswala ya mpira. Kama unaona mgongolwa hafai basi jichague mwenyewe uende tff. Nyie ndo mnamponda malinzi kwa visingizio vya kabila.
Habari yenu jf. Samahani waungwana kwa yeyote mwenye lile tangazo la AJIRA PCCB lililotolewa SEPTEMBER 2013 KWA AJILI YA MAOMBI YA KAZI HIZI TAFADHALI ANISAIDIE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.