Tangazo la maombi ya kazi (PCCB)

Tangazo la maombi ya kazi (PCCB)

Thanks Kada kwa kumsaidia dogo, nami nilikuwa natafuta njia ya haraka ya kumsaidia tatizo lake. Naona amewaelewa wana JF na amejifunza jinsi ya kuandika siku nyingine.

Thanks alot bro. Ila walo kereka waniwie radhi, nadhan ha2kuelewana, au wamenielewa vbaya au ni kuthink beyond. V sory again
 
huyo anatafuta ameze duties &responsibilities.usiwape pole waliokosa inaonekana ni interview yako ya kwanza.kuitwa interview sio kwamba ndo umepata kazi ndugu.kuna wataokosa pia.we vp?
 
Ahsante kwa ushauri kk, nadhani hamkunielewa vzuri au nimekosea namna ya kupost. Am very sory kwa niliemkera ila haikua lengo langu. Samahan sana.
Wewe unaonekana muungwana, cku nyingine kabla ya kuapply kazi yeyote unafungua folder@ kwa mfano umeaply PCCB..Folder unai name PCCB for further references..unaweka vitu vyote mule vinavyouhusu PCCB applications ikiwemo mission na vision ya PCCB $ salary scale ya kazi unaomba$ (swali la kizushi)ukimkamata mtu amekula rushwa what are the steps.....Kila la kheri.
 
watu wapo serious hawajibu maswali ya kizushi, wanajibu maswali ya msingi.
By the way, ushauri wako ni mzuri.
 
Hahahahha wewe jamaa hizi mbwembwe fanyia huku huku online..ukifanya mtaani..watakuendea kwa kulumanzila...usiseme sijakwambia...Over...!!
 
Back
Top Bottom