Kauli ya Mwanasheria wa TFF kuhusu sakata la Okwi

Kauli ya Mwanasheria wa TFF kuhusu sakata la Okwi

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Mwanasheria WA TFF, Allex Mgongolwa amesema kuwa mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kucheza Yanga na wala Sakata lake lisipotoshwe. Mgongolwa alisema watu wamekuwa wakipotosha kuhusu Sakata la mchezaji huyo "Hicho kipengele wanachosema kama amecheza klabu mbili kwenye mashindano husika haruhusiwi kucheza klabu ya tatu, kipengele hicho kingepata nguvu kama kungekuwa na zuio la muda, lakni hakuna zuio lolote, ndio maana Fifa wakamruhusu" source Mwananchi
 
Sakata la Okwi litakuwa funzo kwake na pia kwa wachezaji wengine wa kigeni watakaotaka kujiunga na timu ya Simba.
Cc: Aden Rage !!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa katika suala lolote linalohusu yanga ni lazima aonyeshe mahaba yake dhahiri....
 
Kuwa mwanasheria sio kukua kila kitu, kuna sheri tofauti hapa duniani, kuna sheria za ndoa, shamba, michezo na nk, mgongolwa ni mwanasheria wa mambo ya kijamii sio soka, mpira una sheria zake tofauti kabisa asijichanganye kabisa swala la okwi ni bomu,
 
Wewe ni mwanasheria wa nini?
 
Huyu mahweso ni mwanasheria wa ndoa hajui maswala ya mpira. Kama unaona mgongolwa hafai basi jichague mwenyewe uende tff. Nyie ndo mnamponda malinzi kwa visingizio vya kabila.
 
Nawakumbusha ya Mazembe.........................wao hawakua tu na Mwanasheria bali JOPO.............
 
Back
Top Bottom