na Mwandishi wetu
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ametoa ufafanuzi kuhusu hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa usiku wa mwaka mpya na kuzungumzia mchakato wa katiba unaoendelea, na kusema rais hapaswi kulalamikiwa kwani yote aliyosema yamo ndani ya...