Recent content by abdul5560

  1. A

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    njoo Dm nikupe connection ya uhakika
  2. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Friji na Freezer kwa bei nafuu

    mnakopesha ma freezer au huduma ya kulipa kidogokidogo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wafugaji/Mashamba ya Kuku wa Nyama kwa Ajili ya Kununua kwa Bei ya Jumla (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, Natafuta wafugaji au mashamba ya kuku wa nyama wanaouza kwa bei ya jumla. Mpango wangu ni kuanza kununua kuku takribani 150 kwa wiki hii ya kwanza, na kuendelea kuongeza kiwango hadi 200 au zaidi kwa kila wiki, kulingana na uhitaji wa soko langu. 📌 Vigezo ninavyohitaji: Kuku wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

    anaehitaji ipo connection ya uhakika aje Dm
  5. A

    JamiiForums Tanzania Biashara na faida ya Bajaji ya mkataba

    Kwa hesabu kwa siku unatakiwa upeleke bei gani na kww mkataba kwa siku bei gani na kwa mda gani
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tusaidie code za betpawa za leo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Bosi Kama kuna connection kutoka Halmashauri kwenda taasisi au bodi yoyote naomba niunge
  8. A

    JamiiForums Tanzania Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Nashkuru kiongozi na usiwaze hiyo channel nishai follow mda mrefu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Meneja Wa Makampuni kiongozi naomba nisaidie link or majina ya scholarship za degree hata 3 za mwaka 2024 or 2025bfull funded maana naona umetuma nyingi Sana so naomba nisaidie hata 3 ili ni focus nazo
  10. A

    JamiiForums Tanzania Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Hivi kiongozi kuna limit ya kuomba scholarship maana Nina mpango niombee scholarship tofauti tofauti hata 5 ili kama inawezekana Kati ya hizo naimani nitapata hata 1
  11. A

    JamiiForums Tanzania Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

    Hivi ukishafanya application inachukua mda gani kupata passport
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    Afisa uvuvi nipo mbeya nahitaji wa kubadilishana nae awe Morogoro mjini, tanga, dar, pwani
  13. A

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Nisaidie link kiongozi
Back
Top Bottom