Recent content by Abdul Nyembo

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nimelipia nguzo TANESCO muda mrefu mpaka leo hawajarudi kunipa huduma

    Nafkiri ilikua ni mambo ya budget kwa sasa unaweza rudi tena ofisini utapatiwa control number.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sound bars za hisence

    Naomba msaada wa kufahamu kwa anaejua sound bar za hisence zenye watts 130 na 320. Naulizia ubora wa hizo kwa ambae anatumia
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio Rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi...

    ukitaka kujua anamlenga nani toa kauli zote bakiza hiyo "kuona wengine hawana maana"
  4. A

    JamiiForums Tanzania Yahusu vijana wenye miaka zaidi ya 28 wanaokaa nyumbani kwao

    Yesu yupo kwa babaake mwaka wa 2000 huu.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mchikichini: Mtaa wa mateja uliotoa vipanga wengi kielimu Dar na mikoani

    M Mtegetwa hata kama hujahudhuria pindi zake ukishika vitini vyake tu unaona mambo yalivyo mepesi... Unapata na hamu ya kujifunza zaidi
  6. A

    JamiiForums Tanzania Don Williams V/S Kenny Rogers

    Rip kenny.... Ila Don daah playlist yake haichoshi... Your my best friend, amanda, some broken heart never mend.. Heshima kwake
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli

    life is not fair... Wenzao wapo serengeti, mikumi nk wanapambana na simba na chui. Wenyewe wanakula upepo wa magogoni. Posta
Back
Top Bottom