Wanyama pori waipamba Ikulu, Hongera sana Rais Magufuli

safi sana, jnapendeza kwakweli, lakini wasaidizi wawe makini mda wote, sometimes wanyama pori huya hawaeleweki, wanaweza kurukia magari ya wageni...
 
unafahamu ecology au umekurupuka tu? Unafahamu kuwa kuwaweka wanyama wanaokula nyasi sehemu bila ya kuwaweka wanyama wanaokula nyama nyasi zitaisha then hao wanyama nao wataisha?Watanzania sijui hii elimu ambayo huwa tunasoma inatusaidia nini! Halafu washauri wa Mh. Rais wamepiga kimya tu na vitambi vyao!
 
..Ikulu inaweza kuwa kivutio cha watalii.

..Buckingham palace inatembelewa na watalii milioni 15 kwa mwaka.

..White House inatembelewa na watalii kati ya laki 7 na milioni 1 kwa mwaka.

..sasa Ikulu ya Tanzania inavutia watalii wangapi kwa mwaka?

..Je, tumeweka mazingira na miundombinu ambayo ni rafiki kwa watalii wa ndani na nje wanaotaka kuiona Ikulu yetu?
 
Back
Top Bottom