Recent content by Abdul Najad Faiq

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ni lini Zanzibar na Tanzania tulikua nchi moja?

    Na:Abdull Najad Faiq Unapo zungumzia Tanzania huwa ina maana 2 tofauti kulingana na katiba ya Jamhuri Tanzania ni jina lililopatikana baada ya kuungana kwa nchi ya Tanganyika na nchi ya Zanzibar ambapo ulizaliwa umoja wa "Jamhuri ya Muungano ya Tanzania" lakini baada ya muungano ule jina la...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inavyoshikilia uchumi wa Zanzibar

    Na:Abdull Najad Faiq Zote Tanzania bara na Zanzibar linapokuja jambo ambalo lipo ndani ya orodha ya mambo ya Muungano, huwakilishwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndio Serikali mama inayopanga sera na dira ya nchi kimataifa Uchumi wa Zanzibar na Tanzania bara kamwe hauwezi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kuzuia ulimwengu usigawanyike pande mbili

    Na:Abdull Najad Faiq Heshimu mawazo yangu nitaheshimu mawazo yako tushindane kwa hoja, ndivyo ninavyoweza kuianza makala hii Ulimwengu tulio nao umeshapitia katika zama nyingi tofauti tangia zama za ujinga katika bara la Ulaya hadi zama za kustarabika, mapinduzi ya viwanda, vita ya kwanza na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania "Namna ulimwengu ulivyoweza kugawanywa matabaka mawili"

    Na:Abdull Najad Faiq Ulimwengu wetu wa leo ni ulimwengu ambao haupo sawa ni ulimwengu ulio matabaka mawili baina ya weusi na walio weupe,baina ya maskini na matajiri,baina ya wenye nguvu na walio dhaifu,baina ya walio bora na walio duni na baina ya watawala na walio watawaliwa Ulimwengu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Makato ya miamala ya simu

    MAKATO YA MIAMALA YA SIMU Kwa kipindi cha hivi karibuni suala la makato ya simu limekua gumzo nchini na kuibua sitofaham na kauli za utata kutoka kwa baadhi ya viongozi, huenda walioanzisha tozo hizo hawakua na lengo baya ila naweza sema kwamba hawakufanya upembenuzi yakinifu pamoja na...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Huenda walioanzisha tozo hawakuwa na lengo baya ila hawakufanya upembuzi yakinifu kumzingatia mwananchi

    MAKATO YA MIAMALA Kwa kipindi cha hivi karibuni suala la makato ya simu limekua gumzo nchini na kuibua sitofaham na kauli za utata kutoka kwa baadhi ya viongozi,,huenda walioanzisha tozo hizo hawakua na lengo baya ila naweza sema kwamba hawakufanya upembenuzi yakinifu pamoja na kumzingatia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Biashara: Changamoto wanazokabiliana nazo Watanzania

    Sekta ya biashara nchini inakabiliwa na changamoto kadhaa wa kadhaa ambazo inazorotesha utendaji na ufanisi katika sekta hizo. Miongoni mwa changamoto hizo ambazo bahati nzuri serikali ya awamu ya sita imeweza kuzibaini na kuzipatia ufumbuzi ni suala la mgogoro wa kibiashara kati ya Tanzania na...
Back
Top Bottom