Dalili 12 zinazothibitisha upo kwenye "toxic relationship" au mahusiano yasiyo husiana na mapenzi.
1. Ana pande mbili kama shilingi kumi
Kuna siku anakupenda sana na siku nyingine unatafuta wapi ulikosea ukaombe msamaha, ndugu hio ni toxic element moja kubwa.
2. Siki zote hakosei na siyo wa...
Kuna watu ambao hawawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida Nyingi, lakini linapo kuja swala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu...
FAHAMU MADHARA MAKUU MATANO YA KULAMBA SEHEMU ZA SIRI (KUZAMA CHUMVINI ).
Kukua kwa kasi ya utandawazi kumeleta maendeleo makubwa ya kijamii, kiuchumi na kisiasa. Pamoja na hayo yote kuna mambo ya ambayo waafrika tumeyaiga nikiimanisha ambayo sio jadi yetu pia ni hatari kiafya hapa nikimaanisha...
Makala hii ni tafakari huru kuhusu mambo ya msingi katika mahusiano. Hapa utapata tafakari ya maana ya maneno na imani ambazo zinatutatiza wengi wetu.
1. Mchanganyiko mkubwa kuhusu maana ya mahusiano, mapenzi na ndoa:
Labda kipengele hiki tuanze kwa kueleza kuwa kunaweza kuwepo ndoa, lakini...
Swaga za wanawake
1. Ndio nakuja ila ujue sikai sana
2. Nishukie wapi?
3. Saizi saa ngapi nataka kuondoka
4. Ubaya wako utaingiza yote
5. Uingize kichwa tu
6. Funga mlango kwanza
7. Sikai sana uharakishe
8. Tufanye tu na nguo nawahi bana
9. Navua lakini hatufanyi sana
10. Anza kuvua wewe kwanza...
*JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI*
1.Usiamke mapema.
2. Usipange matumizi ya Pesa zako.
3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri.
4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi.
5. Usifikirie kuanzisha biashara mpaka malaika akishuka kutoka mbinguni na kukukabidhi mtaji.
6...
Hivi nyie wadada huwa mna maana gani?
Mnapo tongozwa alafu unamuuliza mwanaume"UNA MPENZI"ivi huwa mnategemea jibu gani?
Au unataka aseme yeye ni BIKIRA?
Kwa leo naishia hapa kesho nitaendelea tena
JINSI YA KUMTAMBUA MWANAUME WA KUKUOA.
WANAWAKE wengi wanateseka penzini kwa kutowatambua vizuri wanaume wenye mapenzi ya dhati.
Wengi hujikuta kwenye maumivu makali kwa sababu ya kuingia kwenye uhusiano na watu wasiokuwa na mapenzi ya dhati.
Wanaingia kwenye uhusiano na matapeli wa mapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.