Toxic relationship

Abdul mrope

Member
Jul 6, 2017
37
79
Dalili 12 zinazothibitisha upo kwenye "toxic relationship" au mahusiano yasiyo husiana na mapenzi.

1. Ana pande mbili kama shilingi kumi

Kuna siku anakupenda sana na siku nyingine unatafuta wapi ulikosea ukaombe msamaha, ndugu hio ni toxic element moja kubwa.

2. Siki zote hakosei na siyo wa kwanza kuomba msamaha

Hata kwenye hili bado upo tu na unategemea kuna siku atabadilika? Huyo ni toxic na hakuna namna hayo mahusiano yatafanya kazi. Mtu anaekujali hawezi kuacha kuomba msamaha ili muwe na amani.

3. Anakutumia wewe zaidi

Kama upo kwenye mahusiano na unadhani kwamba wewe ndio unafanya vitu vingi, unajali na kutumikia hayo mahusiano zaidi au ana manipulative behaviours that's intoxicated tena na sumu ya panya. Lazima kuwe na mutual actions (unison responsibility).

4. Hisia zake ni zako pia

Kama upo kwenye mahusiano na mtu wako kila akiwa na mood mbaya basi lazima akutupie mpira muwe na mood mbovu wote (projection of feelings), that's toxic. Mtu anaekujali anatamani kupata faraja kutoka kwako. Fungua kichwa hicho mapema kabla hujachelewa.

5. Lazima ufanye uchaguzi

Kama mtu wako mara kadhaa amekua ana kuweka kwenye mizani kukupima kama utachagua kitu fulani au yeye (prove yourself to them), na bila shaka lazima utampa yeye nafasi hata kama kitu hicho ni muhimu kiasi gani. Hiyo ni toxic discombabulated relationship.

To be continued, tukafanye maombi kwanza.
Like, share kwa wingi zaidi ili tuweze kuendelea.
 
Dalili 12 zinazothibitisha upo kwenye "toxic relationship" au mahusiano yasiyo husiana na mapenzi.

1. Ana pande mbili kama shilingi kumi
ampa yeye nafasi hata kama kitu hicho ni muhimu kiasi gani. Hiyo ni toxic discombabulated relationship.

To be continued, tukafanye maombi kwanza.
Like, share kwa wingi zaidi ili tuweze kuendelea.
Hakuna haja ya kuendelea na toxic relationship
 
Back
Top Bottom