Recent content by Abdson

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje emergence call zinakubali hata kama hamna network?

    yes bro,upo sawa kabisa,kwa sababu teknolojia nyingi tunatumia mfumo wa kimataifa kutokana na chama cha umoja wa mainjini IEEE,mfano vipenyo vya dvd,karatasi za A4,umbo la simcards e.t.c
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje emergence call zinakubali hata kama hamna network?

    Hapo ni kwamba Emergency number ina ruhusa kutumia mnara wowote ulio karibu wa simu either voda,airtel etc.Cause ni kitu kimeshawekwa,Uki dial 911 mnara wowote unatoa msaada wa mawasiliano kwenda sehemu husika,Hata kama laini haipo,Namba hizo tayari zimeshasetiwa kutumiwa bure.
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania samsung galaxy mini.. (fake)

    Niliishaitumia ipo fresh kamera ya 3.15MP,Inatoa picha clear sana,Nadhani unazungumzia G5570 galaxy mini,Original ni original tu,hata ukiiona utagundua tu,Sijui unazungumzia fake zipi,hakuna fake zaidi ya zile za kichina.Thanks
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada games za ps2 PAL.

    Jamani nimekosa DVD za PAL za PS2,Je naweza kudownload kwenye internet,kama kuna mtu anafahamu anisaidie,hii PS2 inatumia PAL tu,Ahsanteni.
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niionavyo google baada ya miaka 10

    Usijisifu una mbio msifu anayekukimbiza,Competition sio rahisi kihivyo jamani,after 10 years google tutaisahau na itaonekana ni Oldiz,watu wametuliaaaaa tuliiii wanaumiza vichwa.
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wadau mpoo?

    BIG-UP,Nice vision.
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mistake ya mwaka map za apple zafeli kwenye iphone kiasi cha kutia aibu

    Apple wakitengeneza mawe samsung watakuwa mstari wa mbele kupiga copy,Ila nadhani mawe ya Apple bado yatauza sana,Blackberry wana fangirls,je?samsung galaxy wana?
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mistake ya mwaka map za apple zafeli kwenye iphone kiasi cha kutia aibu

    Apple watabaki kuwa best kwa sababu maneno hayajengi,tazama ipod,ipad,imac na iphones,kwa kweli jamaa wanateka soko zima la computers,usilinganishe samsung na apple,kwanza linganisha nokia na samsung then fainal compete na apple.siri,case,ios na upload ability zinaiweka iphone4s juu. Case ya s3...
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Bill ya umeme ni kubwa kuliko matumizi yetu?

    Tena mi mkali sana wa kuchakachua hivyo viluku vyao,hata hawawezi kugutuka,unit 12 miezi mitano.
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ...msaada wa nokia express music.!

    Kaka umesema yenye kasi ya internet chukua 5730 ina 3g wi-fi na qwerty.
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu "BRUTE FORCE"

    How many digit number can be formed from the numerals 1,2,3,4,5,and6 without numerals being repeated?hapo tuna guess password kwa kutumia probability,inamaanisha hizo nambari sita hapo juu zinaweza kutoa numerals ngapi,haya twende kwenye math, 1 mara 2 mara 3 mara 4 mara 5 mara 6=720 kwa hiyo...
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa umeme

    Hapo mjomba ni invertor tu mambo yote,utawasha hadi taa 12,cause itaamplify toka 12 volts mpaka 220V kama umeme wa Tanesco,kuliko kununua kifaa cha kubadili A.C to DC,kwanza utawasha hadi feni na tv ila ni vizuri zaidi uwe na solar kuepuka usumbufu.
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apple versus Sumsung Galaxy

    Hata hivyo ni kawaida ya hawa watu wenye tumacho tudogo.
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apple versus Sumsung Galaxy

    Kuhusu umbo la nje la simu sio inshu ki vile,kinachomata ni chipset kati ya EXYNOS(samsung) na A series ya apple. Yaani samsung kakopy kila kitu.
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apple versus Sumsung Galaxy

    Namtambua samsung kama mkali wa kucopy na kupaste,kubuni simu kama galaxy S2,s3 ni ndoto kwao bila kuwepo kwa iphone cause wenyewe ni wakali wa kutengeneza vyoyoz,fridge,laptop,battery, tv na kamera.Apple ni kampuni linalobuni computers tu. So samsung kumpiku apple ni ndoto za alinacha,na...
Back
Top Bottom