Kwa wataalamu wa umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wataalamu wa umeme

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mkali mimi, Aug 27, 2012.

 1. m

  mkali mimi Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nna bettry ya gari 12Volts, nahitaji kuitumia kuwashia taa kadhaa (energy savers) kama 5 tu ivi, coz maeneo niliopo umeme wa tanesco unasumbua balaa. Je kuna means yoyote ya kufanya amplification? au chochote? je ni safe kuconnect kwa ajili ya nyumba nzima?? (taa tu, kama 8 ivi) if possible naomba kujua any additional low cost device kinachoweza kuhitajika. Thanks.
   
 2. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa uzoefu wangu, tumia taa za D.C 12V (direct current) But hiyo battery ni ''N'' ngapi? endapo ni N80 na kuendelea basi utaweza washa taa 6 kwa mpigo. But nakushauri kununua solar system. Mi kilakitu natumia sola power. Kasoro pasi tuu
   
 3. M

  Mzee wa fund JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushauri huo hapo juu ni sawa kabisa.
   
 4. m

  mkali mimi Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  N70 mkuu. Dah kwa sasa solar haitawezekana coz bado sijajipanga. Ila betry ndo ipo.
   
 5. gkiwango

  gkiwango Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kama unataka low cost nunua taa za volt 12 Energy saver mara nyingi wanaziuza km taa za solar. Tafuta za LED ndo zinadumu mda mrefu na utaweza kuitumia betri yako moja kwa bila kifaa kingine cha ziada. Otherwise unaweza nunua inverter ambayo cost yake ni kubwa kidogo tafuta pure sinewave ili kuepuka kuunguza vifaa vyako mara kwa mara, Kwavile unahitaji kutumia taa tu unaweza kwenda kwa mafundi wa Electrical/Electronics waliobobea wanaweza kubadili hizo taa za energy saver zikatumia d.c moja kwa moja au wakakutengenezea simple inverter kwa bei ndogo.
   
 6. m

  mkali mimi Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bei za inverter zipoje?
   
 7. A

  Abdson Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo mjomba ni invertor tu mambo yote,utawasha hadi taa 12,cause itaamplify toka 12 volts mpaka 220V kama umeme wa Tanesco,kuliko kununua kifaa cha kubadili A.C to DC,kwanza utawasha hadi feni na tv ila ni vizuri zaidi uwe na solar kuepuka usumbufu.
   
 8. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mpaka fridge unakamua na solar?
  je imekucost pesa ngapi kupata full Tanesco?
   
 9. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hapo umenena mkuru!!!
   
 10. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Yategemea!!
  Zina rate 75,000-300,000 kutegemea na watt(kuna watt 500 na kuendelea)
   
 11. m

  mkali mimi Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Atleast izo bei sio za mauaji. ntacheki, shukrani.
   
 12. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Tanesko umeme ninao, but natumia kwa pasi tu. Sola mpaka hapa ilipo ni kama milioni 3 tu. But hapo nilienda kwa kampuni kubwa R.E.X wakanigonga katika first installation. Lakini ni raha, unatakiwa kutumia Friji la D.C Ndo utafaidi
   
 13. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  sikushauri kutumia inverter. Sababu
  • yenyewe inatumia umeme mwingi bila ya kutumia kitu kingine
  • hautaweza tumia TV kwa raha, utaweza washa kwa chini ya Nususaa tu.
  • inverter hazidumu
  ushauri wangu ni heri ujipige ununue kaTV ka Kilo na nusu flat screen ka D.C ambako utainjoy Badala ya kununua inverter mara kwa mara
   
 14. Clajago

  Clajago Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushauri wangu utakufaa kama tuu utapima umeme wako muda gani unakuwa "Low Voltage" na unakuwa unapatikana volts ngapi?
  Kisha mie kwa ushauri wangu kama pesa ipo kidogo tafuta APC UPS Used ya Phillippines IKIWA NA BATTERY yake na Ui-configure na ichomeke kwenye umeme wako inputs e.g input 160Volts Outputs 220 kulingana na volts ulizokuwa nazo muda umeme unapokuwa Low Voltage na kisha kwenye power outlets chomeka energy server zako 5 na TV ili mradi usizidishe load zaidi ya Watts 500.

  Faida ya UPS ni kwamba ndani ina Invertor tayari na kuepuka issue ya kwenda ku-charge battery mara kwa mara.
   
 15. m

  mkali mimi Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  So clajago, iyo ni bora zaidi kuliko inverter?? sababu nlkua nshaanza kucheki invertors.
   
Loading...