Recent content by abdande

  1. abdande

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Naona watu mmetaja taja lakin hamjaitaja hii love story...inaitwa I MISS YOU... Itaften wakuu mjionee mambo
  2. abdande

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Akina mama wa monduli popote mlipo mje kuokoa akina mama wenzenu...
  3. abdande

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Akina mama wa monduli popte mlipo mje kuokoa umma...
  4. abdande

    JamiiForums Tanzania Ugaidi: Watanzania 6 wenye silaha wamekamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-Shabaab

    Wanataka kuiamnisha dunia kwamba magaid wanatoka Tz.. Mbna hatuckii wakenya wamekamatwa...
  5. abdande

    JamiiForums Tanzania Ugaidi: Watanzania 6 wenye silaha wamekamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-Shabaab

    Walete ushahid wa kutosha..tuwaone hao magaid...ili tuamin kma ni kweli..wasiletestory na picha za miaka kadhaa ili watengneze hof na chuki kwa wa Tz... Wankuja kuanzsha thread ili wahesbu comentz... Halaf wnajfnya wanajua..
  6. abdande

    JamiiForums Tanzania Ugaidi: Watanzania 6 wenye silaha wamekamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-Shabaab

    Pole sana...ni kawaida ya ukweli kuuma... Lakin ndo hvyo haina jinc... Hauna hoja ya msingi katika hili..endelea kuamn unachoamn... Mwenye ubongo kma wa tembo..
  7. abdande

    JamiiForums Tanzania Ugaidi: Watanzania 6 wenye silaha wamekamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-Shabaab

    Inawezkna kwa fikra zako...lakin nafkiria kuwa hizo fikra hazitoki kichwan...kuna sehemu unazitoa na si mahali pazur kwan hutoka vitu sivyo...jaribu kutumia kichwa kufkir....
  8. abdande

    JamiiForums Tanzania Ugaidi: Watanzania 6 wenye silaha wamekamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-Shabaab

    Picha ya hao magaid iko wap...msituletee picha za matukio mengine halaf mkasema ni ya hao magaid..leteni ushahid wenye uhakika acheni kuleta propaganda n kutafta namna ya kutukana uislam na waislam...
  9. abdande

    JamiiForums Tanzania Ugaidi: Watanzania 6 wenye silaha wamekamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na Al-Shabaab

    Umefikiria nje ya box...respect u
  10. abdande

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Mafuriko gan wakat kuna seat ziko waz...
  11. abdande

    JamiiForums Tanzania Menina aolewa na kigogo kwa siri

    Unafkiria kwa kutumia kichwa kweli..??
  12. abdande

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya wanawake kutembea matiti nje duniani

    Zinduna adhimisha bac na ww tuyaone yako...co unaweka wenzio tu..matit yenyew hata hyana mvuto..
  13. abdande

    JamiiForums Tanzania Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

    Wanatafta kick hao..kma diva angekuw anamdiss mond insta c ingkuw kitambo tushaonaga... Hawana lolote wanatafta HEADLINEZ..
  14. abdande

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Ccm b mnabwatuka ttuu..hamna jipya
  15. abdande

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Udini kauanza yesu maana naye pia alisema kuwaambia wanafunz wake...KICHWA CHAKO KIMEJAA FIKRA ZA UDINI KAMA UKAWA..muda huu hatuangalii hayo tunaangalia sera kwa faida ya TAIFA LOTE..hatutak UDINI wala UKANDA..sera zako hizo wapelekee UKAWA... Tunataka TANZANIA yetu moja...mungu ibarik TANZANIA..
Back
Top Bottom