Recent content by Abdallah Wa Mchinga

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mazuri yatokanayo na simu hii. Nokia Asha 230

    Nokia Asha 230 Inadumu chaji. Qn.Hivi ina uwezo wa kutumia browser kama vile safari na Chrome? msaada tafadhali! Qn.Bei yake dukani kwa sasa tsh ngapi kwa Dar es salaam?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeijua Bachelor of Science in Information technology with Education ya SUZA

    Excellently! Hicho neicho nilicho kuwa nakihitaji kwa 100%.Ngoja nkapige IT & Biology!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeijua Bachelor of Science in Information technology with Education ya SUZA

    Kwani kuna chuo kingine Tz kinachotoa hiyo program,maana mi nimeikuta SUZA tu!
  4. A

    JamiiForums Tanzania SUZA:Unique undergraduate degree program.

    Msaada wadau juu ya hii program inayotolewa SUZA, Bachelar of Science and Information Technology with Education. Ufafanuzi tafadhali,Unasomea vitu vingap hapo? Baada kuhitimu unafanya kazi gan? Aulizaye ataka Kujua.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeijua Bachelor of Science in Information technology with Education ya SUZA

    Msaada wadau juu ya hii program inayotolewa SUZA. Inaitwa Bachelor of Science in Information Technology with Education. Ufafanuzi tafadhali, unasomea vitu vingapi hapo? Baada kuhitimu unafanya kazi gani? Aulizaye ataka kujua.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Muhimu: Kwa waliofeli kidato cha nne na kutaka kurudi tena shule

    Habari wadau wa jf, Nina moja la kuliwasilisha ambalo ni ushauri, Kwa yeyote aliyefeli kidato cha nne lakini bado anakusudia kurudi shule namshauri yafuatayo:- 1.Atie nguvu azma/kusudio lake asirudi nyuma. 2.Epuka kuwaomba ushauri vijana wa mtaani wasio na elimu kuhusu azma yako hiyo,kwani...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada katika hili(Encarta) Wadau.

    Nahitaji ile programme ya computer ya "Encarta,the free encyclopedia" yenye masomo kama vile Maths,science,geography na history. Ni Jinsi gani naweza kuipata?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hii hali siyo,wanajamvi tujadili hili swala.

    Hivi hii serikali yetu inajali sekta ya elimu kweli,yapo mengi lakini kwa leo nazungumzia kuhusu SELECTIONs ZA WADOGO ZETU Wanaotarajia kuingia kidato cha 5 Julai mwaka huu.Yaani hadi leo hakijaeleweka chochote..ukizingatia kunahitajika maandalizi ya kutosha...Je,tuendelee kujipa moyo au kuna...
Back
Top Bottom