Recent content by Abdallah Mgeleka

  1. Abdallah Mgeleka

    Kwa yeyote anayetaka machine ya aina yoyote ile tuwasiliane

    mkuu vipi diagnosis machine for all cars inapatikana??
  2. Abdallah Mgeleka

    Fundi umeme wa magari natafuta kazi

    Natafuta kazi, Mie fundi Umeme wa magari, pia ni store keeper mzuri wa vifaa vya umeme magari, elimu Vocation training VC3. interested, au kunipa hiyo ramani, 0762078907/ 0719394474
  3. Abdallah Mgeleka

    Msaada: Kuflashi simu kwa kutumia code

    jaman msaada wa kuunlock smartphone za halotel H8401
  4. Abdallah Mgeleka

    Jamani msaada wenu juu ya hizi Fani..

    Kwa kua ww ni shoga endelea tuu
  5. Abdallah Mgeleka

    All unlock codes here order now 100% money

    Please help. My phone numba 0762078907. Vodafone vf685 -2AVDTZ1. ID B021282. IMei 354459061999611
  6. Abdallah Mgeleka

    All unlock codes here order now 100% money

    Vodafone vf685 -2AVDTZ1. ID B021282. IMei 354459061999611
  7. Abdallah Mgeleka

    Mnazionaje huduma za Azam tv?

    vip kwa wa mikoani kama arusha na wilaya zake twapataje hvo visimbuzi na gharama yake ikoje..!
  8. Abdallah Mgeleka

    Wale wa vyuo vya ufundi msaada jamani kati ya CBET na CBA

    Habari zenu wanaJF, Leo nimejitokeza kupata kufahamu tofauti ya hii mitaala katika vyuo vya ufundi kati ya CBET na CBA.
  9. Abdallah Mgeleka

    Jamani msaada wenu juu ya hizi Fani..

    jamani wanaJF Nipo chuo Nilipenda kusoma ICT ila kuna watu wa karibu wamenishauri nisome AUTO ELECTRIC (UMEME WA MAGARI).... Naombeni ushauri weni jamani masomo tunaanza wiki ijayo....
  10. Abdallah Mgeleka

    Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    habari number 1. Shambulizi la kigaidi kwenye jengo la Westgate mjini Nairobi.. Kwani walikufa watu wengi na wasio na hatia pia walijeruhiwa ndugu na jamaa zetu, shambulio hilo pha lilisababisha watalii kupungua kuingia afrika mashariki kwa ujumla kwa kuhofia ugaidi...
Back
Top Bottom