Recent content by Abdalla mpemba

  1. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud wa ACT Wazalendo amfagilia Hayati Magufuli. Hii ina maana gani?

    Kama uliwahi kusoma neno kinyume kwahiyo mh Othmani hapo kaongea kinyume chake huyo ni mzanzibar na unawajua wa Zanzibar kwa mafumbo hilo ni fumbo lifumbue maaana utajua alicho kusudia
  2. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Tukimalizana na wamasai wapemba wajiandae Kwa Zanzibar ya Buluu

    Mbona pemba yapo magorofa aliyojenga karume jee kwani kushawahi kufika pemba
  3. Abdalla mpemba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Simba SC mbona kama hawapo serious na usajili?

    Kama ilivo simba mali ya moo
  4. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

    Mbona huku Zanzibar mumemuweka mtanganyika mwenzenu tena wa mkuranga
  5. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

    Jussa mmoja ni sawa na akili za wabunge 300 wa chama cha ccm walioko bungeni na kama inakuma jussa kusema hivo kamulize mjukuu kinda kindaki wa mwana mapinduzi fatma karume ukweli wote atakwambia na wazanzibar wote wanajua
  6. Abdalla mpemba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Funga Tanganyika hao
  7. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Kwa hotuba hii ya Waziri Masauni, ni dhahiri nchi haikuwa na amani

    Ile kuona nyomi ya watu sio kama wengi walikua na hudhuni hapana asilimia 89 ya watu wale walikua wameenda kuhakikisha jee kafa kweli isijekua ni ujanja wake tu anaekti ili angalie anachukiwa na watu kiasi gani lkn mpaka siku anatiwa kaburini ndio watu wakaamini kafa kweli kwani ni vigimu kweli...
  8. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

    Ndio maana wakija zanzibar wanauziwa tv laki tano wanaona wamepata bei rahisi wakati sisi wazawa tunanunua laki mbili tu
  9. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

    Kweli hata watu wa bara mpaka leo tarifa ya habari ktk tv wanatizama kwa pesa
  10. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami na kujifanya TISS kwa kutishia wenzake

    Havi mtoshi kwa sababu siku hizi hakuna jogoo anaeuzwa laki moja bara barani Wala kufanya maigizo ktk misafara yake ya kugawa pesa na kuwapanga baadhi ya watu waeleze shida zao halafu wapewe pesa kwa mabunda bara barani
  11. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo misiba mikubwa maarufu iliyohudhuriwa na watu wengi mno

    Kwani yule wa chato si watu waliambiwa wasende makazini na wanafunzi wasiende mashuleni na vyuoni ili wajaze uwanja na kujipanga bara barani
  12. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kufanya kazi ya kuuza spare parts Pwani

    Kwanini hiyo kazi usingempatia mdogowako ambae anaurandisha dawa za panya huku zanzibar
  13. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

    Si muna wa tu kana warabu nyinyi muna sema wataurejesha utumwa
  14. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa: Rais wa Ukraine, Zelensky, akataa ofa ya Marekani ya kumtorosha Kyiv asikamatwe na Putin

    Kama yule jamaa aliyekombia corona na kwenda kujificha chato
  15. Abdalla mpemba

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yani wa lipo pigwa libiya Iraq Iran Yemen nyote mume nyamaza kimya kwa sababu ni wa Islam na ni wa Arab sahivi wana pigwa makafiri kila mtu a na waonea huruma Tundu lisu aliwahi kusema wa kitu Maliza sisi wa takuja kwenu nyinyi
Back
Top Bottom