Habari za kutwa ndungu zangu
Mimi ni kijana mwenzenu mwenye nia thabiti ya kuweza kukuza mpira wa Tanzania kwa kuwa mchezaji namba 13 yaani namaanisha mwamuzi(refaree) lakini changamoto ni moja ninayo ipata sijajua ni wapi pa kuanzia na sijajua ni vitu gani muhimu vya kuzingatia
Please kwa...
Naombeni msaada kwa wataaramu wanao jua namna nzuri ya kufuga nguruwe wa biashara na wanachukua mda gani mpaka wanakua tayari kwa kufanyiwa biashara
Karibuni sana kwa maoni
Somo zuri sana mkuuu nimekuelewa sana but kwa kuwa nipo mbali na viwanda vya sukari nilitizama kwa kina sana kwa sababu watu wengi sana wanakula miwa lakini mm nilitaka nilime na kuweza kuwauzia wale wauzaji wa masoko makubwa kwa mbeya na dsm mkuu unanishaurije. Hapo
Habari za kutwa wapendwa ndugu na jamaa. Napenda kuchukua wasaha huu kwa kuweza kujoin kwa pamoja na wana JF wenzangu na waalimu wazuri wa kilimo.
Lengo la kuuandaa chapisho hili ni kutaka msaada kwa wataalamu wa kilimo cha miwa.
1 Jinsi ya uandaaji wa shamba
2-Jinsi ya uandaaji wa mbegu...
Dah mkuuu hakika nimekuelewa sana sijui hata nikwambie nini ngoja nimtafute huyu mwenye hii namba nashukuru sana kwa maelezo yako mazuri hakika wengi watajifunza kupitia hii
Okey changamoto nimezipokea na wengi mnaonhelea changamoto moja kuu juu ya wanunuzi ambao ni jinsia ya kike sawa nimewaelewa
Swali langu:
Changamoto tumeshaijua je ni kwa njia ipi unaweza kuepukana ili kuweza kushinda changamoto hizi?
‘Kwa maana huwezi kulikimbia tatizo bali ni kulisolve
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.