Recent content by Abby2010

  1. Abby2010

    Wazanzibar tunataka haki itendeke kwenye mungano.

    Tunataka nchi yetu Ya Znz
  2. Abby2010

    CDM, CUF na CCM, Hatuusemi ukweli kuhusiana na Muungano

    Ni sawa sawa tu sbb Ccm laiti kama wameyafanya mazuri toka mwanzo mpka saiv miaka 50 watu wasingejali lkn uovu,kuuliwa watu kudhulumiwa watu ndo yamefikia apa kwahiyo muungno kufa c ajabu udugu Wetu kati Ya watanganyika na Zanzibar utakuwa pale pale isipokuwa tu udugu wa serikali umekufa sbb...
  3. Abby2010

    Tatizo sio Muungano!!!

    Yaguju mmelishwa sumu wewe c mzanzibar ni mzanzibara hapa tunataka Zanzibar yenye mamlaka kamili km wewe hutaki hama
  4. Abby2010

    Mzee Pinda: Hii Ndiyo Tanganyika tunayoitaka

    Tanganyika kwanzaaaaa Zanzibar kwanzaaaaaa tunataka kila 1 iwe nchi kamili hapa serikali 3 tunataka bc
  5. Abby2010

    Jumatano maandano makubwa zanzibar nzima yakiongozwa na makamanda wa ukawa

    Mpka kieleweke Mara hii Zanzibar kwanza tanganyika kwanzaaaaaa bunge la intarahamwe Mara hii kaeni pembeni
  6. Abby2010

    KATIBA Mpya: MIMI MZANZIBAR NI MWARABU NA NINAMPENDA SULTANI.......

    Zanzibar kwanzaaaaaaa MPKA kieleweke Mara hii nashauri tanganyika teteteeeni Nchi yenu Mbona hamtaki utaifa wenu wa tanganyika jamani au hamsomi historia yenu sie Znz tunaidai Znz yetu
  7. Abby2010

    Angalia Video za Kongamano Kuzungumzia Rasimu ya Katiba Bwawani Zanzibar

    Hehe ttz la watanganyika hawana katiba yao na hawaijui Nchi yao hawana uchungu ce tuna uchungu tulipindua na km Mara hii musipoiyacha uhuru Tupo tyr kwa lolote ikiwezekana al shabab watatoka Znz sasa mana kwa midomo Hamskii na Inshallah mtaiwacha mara hii
  8. Abby2010

    Shivji: Tanganyika Siijui, Siihitaji

    Huyo kafurungwa shivji lazima watu wadai Tanganyika uyo muhindi anajuwa wapi historia kwahiyo mwaka 1964 iliungana Tanganyika na Znz au Tanzania na Znz mbona mnaleta usomi wenu uchwara apa
  9. Abby2010

    Wasomi wamuunga mkono Prof Shivji

    Safi sana @ mind ivyo ndio Inavyotakiwa Tanganyika lazima irudi na sie uku tunadai nchi yetu Ya Znz. Apo Poa awa wasomi Kina kabachori wanajali njaa zao tu hapa mara hi mpka kieleweke uku Tanganyika kule Znz hapo ikisha tutakuwa pamoja
  10. Abby2010

    Utabiri wangu iwapo Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika

    Vunjeni Muungano nyie watanganyika km Mnaweza ttz lenu hamuwezi mnasema tu nyie ndo mnaong,ang,ania tu
  11. Abby2010

    Wasomi mbona mmemwachia Issa Shivji peke yake kuliokoa taifa?

    Kwani nani kasema Tanzania ni nchi 1? Kwahiyo ipi iliyoungana na Znz Tanganyika au Tanzania?
  12. Abby2010

    Wasomi mbona mmemwachia Issa Shivji peke yake kuliokoa taifa?

    Tanganyika daini nchi yenu kwanini hamtaki kuidai Nchi yenu sisi wazanzibar tunadai Znz yetu saiv kwahiyo juu yenu kuidai Tanganyika yenu au hamtaki mtajijua Wenyewe
  13. Abby2010

    Kama docs za Muungano Hazipo sasa Je?

    Hapo hakuna muungano Bali Tanganyika imeikalia Znz kimabavu huu ndo ukweli Wenyewe na kwanini hati za muungano hazionekani hapa hakuna muungano ipo haja Ya kuitwa kura Ya maoni kuulizwa watu na kama kuishtaki ni Znz ndio itaishtaki Tanganyika kwa kuipa mafao kdg na kutokuwalipa pesa za kuvunjika...
  14. Abby2010

    Hivi ni kwa nini tv za Zanzibar hatuzipati huku bara!

    Nafikiri ipo haja ya kuulizwa wahusika mana wao wanajuwa na kuna sbb zake pia
  15. Abby2010

    Dr. Slaa; mimi sikuwahi kukutana na tume ya Jaji Warioba nimpe maoni yangu. Je hao watz 95% ni wepi?

    Hapo hakuna democracy bana katika nchi yetu tusidanganyane bure warioba kazi alioifanya ni kubwa na inaridhisha watu lkn alichokifanya jk ni kutetea mcimamo wa Chama chake c kutetea au kusimamia taifa
Back
Top Bottom