Uchochezi ni kudai serikali mbili,kuitambua Zanzibar na kujifanya kuotoijua Tanganyika.Acha uchochezi
Jamhuri ya Tanganyika ni taifa lililoko Afrika ya Mashariki,limezungukwa na bahari ya hindi pamoja na maziwa makubwa ya Afika-ziwa Victoria,ziwa Nyasa na ziwa Tanganyika.Wewe Tanganyika unaijua?
kama kweli tunataka tanganyika yetu tunasemaje kuhusu burundi na rwanda.au tuna mchecheto wa kurukia mambo ambayo hata hatuyajui kwa kinamkoa wa vyuo vya elimu ya juu umeeleza rasmi msimamo wake wa kuunga mkono muundo wa serikali mbili ambao unataja kuonekana kuwa ndio mkombozi wa wananchi wa tanzania.
Zaidi fuatilia hapa
m.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/23844-wasomi-wasisitiza-utaifa-unawezekana-serikali-2
kama kweli tunataka tanganyika yetu tunasemaje kuhusu burundi na rwanda.au tuna mchecheto wa kurukia mambo ambayo hata hatuyajui kwa kina
Wasomi wenye njaa bana kaaaazi kweli kweli.hawawezi kujisimamia wenyewe, ptuuuuu!Mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu umeeleza rasmi msimamo wake wa kuunga mkono muundo wa serikali mbili ambao unataja kuonekana kuwa ndio mkombozi wa wananchi wa Tanzania.
Zaidi fuatilia hapa
m.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/23844-wasomi-wasisitiza-utaifa-unawezekana-serikali-2
Kwan source ndo ilotoa kauli??
kama kweli tunataka tanganyika yetu tunasemaje kuhusu burundi na rwanda.au tuna mchecheto wa kurukia mambo ambayo hata hatuyajui kwa kina