Recent content by Abby195

  1. Abby195

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Una nguvu?? Architecture inahitaji watu wenye nguvu, uvumilivu, ubunifu..... km huna hizo sifa tatu....lzm ukimbie Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Abby195

    Nifate mkopo ulipo? Au nivumilie mpaka urudishwe ninapotaka kusoma?

    Electrical engineering is far better than computer engineering.... Ufuate ulipo
  3. Abby195

    Elimu bure vs mkopo chuo

    Word [emoji106]
  4. Abby195

    Diploma kwenda Degree na mikopo 2017/18

    Kuna diploma wa engineering wengi tu wamepata mkopo n wengne wamekosa pia... So naimani hata afya pia wapo walopata mkopo n kukosa pia km ww... Maana afya ni 1st priority then hizo engineering zinafuatia
  5. Abby195

    Wapi naweza kujifunza lugha ya Kichina?

    Sio kweli... Bure ni kwa wanafunzi wa ardhi pekee wa nje wanalipia
  6. Abby195

    GPA ya diploma kwenda digrii inakokotolewaje?

    Dip km Ni miaka mitatu basi ule mwaka wako Wa tatu.... Semester 1 n 2....average GPA ndio inachukuliwa...
  7. Abby195

    GPA ya diploma kwenda digrii inakokotolewaje?

    GPA ya mwisho ndio wana tizama.... Yaani wastani Wa GPA ya semister zote mbili za mwaka wako Wa mwisho Wa dip
  8. Abby195

    Naomba kujuzwa jinsi ya kuhama kupitia NACTE

    Nenda physically nacte....km haupo dsm tafuta namba zao kwenye website yao wapigie
  9. Abby195

    Kukua kwa technology kumesaidia vipi kupunguza rushwa?

    Matumizi ya simu, cctv cameras, internet n vitu vinginevyo hebu fikiria ni vp zinapunguza rushwa....swali rahisi sana hilo huitaji great thinkers
  10. Abby195

    Msaada wa kufahamishwa kuhusu upatanaji wa ajira kozi ya Electrical Engineering

    Hakuna coz yenye uhakika wa ajira....ni msomi mwenyewe tu ndie muamuzi wa ajira yake
  11. Abby195

    Msaada: Nijuzeni orodha ya vyuo vizuri vya ufundi

    Moshi tech sio kweli....vyuo ni MUST, ATC, DIT n DWMI
  12. Abby195

    Jinamizi la meals & accomodation kwenye mikopo 3rd batch

    Jichange pesa ya ada hata kopa....fanya usajili ukipata boom rudisha mkopo....tumia meal n accomodation kujisomeshea inawezekana kabisa....kuna watu hawajapata kabisa shukuru meals n accomodation unayo
  13. Abby195

    Wadau naomba msaada kueleweshwa kozi ya motor vehicle mechanics inayotolewa VETA

    Ufundi wa magari,pikipiki nk ukimaliza hapo veta ukagraduate utakuwa na NTA LEVEL 3, ukipass utaruhusiwa kujiunga na NTA LEVEL 4....unaweza soma ordinary diploma in mechanical engineering
Back
Top Bottom