Recent content by Abby Uladu

  1. Abby Uladu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu aliyeniacha anaomba msamaha anataka turudiane

    Sijasoma makala kabisa ila nakumbuka kuna mzee wangu alisema nanukuu"mwanamke aliyeondoka kwenye ndoa yake mwenyewe na ukamwambia asiondoke,basi hakikisha harudi hata akija kuomba msamaa na ukoo wake wote.
  2. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania Ni vema kumfahamu zaidi FORTUNATUS BUYOBE ili kujiweka salama

    Hivi jamii forum mtu ashawai kupikwa kama kule X(twitter)?
  3. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania Bangi: Kwanini wengine wanaifurahia, lakini wengine hupata madhara makubwa?

    Kuna jamaa nakumbuka kipindi hiko school alikuwa anavuta sana bangi kiasi kwamba ikitokea akaikosa hawezi kulala kabisa. Binaadamu anayejitambu hawezi kuvuta bangi
  4. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu kanogewa kukaa kwangu. Kamaliza chuo 2020 lakini haondoki, nifanyeje?

    Ulizembea mapema ulitakiwa umfungue akili tangu alipofika kwako.lakini bado hujachelewa kama unaweza mtafutie biashara au ikikushinda mwambie ukweli kwamba ilipofikia unatakiwa uondoke hapa nakupa miezi miwili ya kujipanga.
  5. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania Nina ulemavu wa kusikia. Nisome masomo gani kulingana na hali ya sasa?

    Umenikumbusha kuna mdada mmoja tulisoma nae primary(alikuwa anasikia vizuri)baada kama ya miaka 8-9 nikakutana nae asee alikuwa hasikii amepoteza kabisa usikivu nilishangaa sana. Sema aliolewa na jamaa ambaye anamjali na anaelewa hali yake.
  6. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na sehemu ya kulala usiku shukuru sana, usiku ni mrefu sana kama umekosa pa kulala

    Daah kweli umenikumbusha mbali sana
  7. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Donald Trump Amethibitisha Kifo cha Khamenei

    Kesho kila kitu kitajulikana
  8. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yanatoka lini?

    Tarehe 31
  9. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wa kabila la Kimasai wanapiga watu ovyo barabarani wapitapo Arusha

    Hakuna wanaume huko? Kwmaba hakuna wanaume majabali zaidi ya 400 huko?
  10. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wa kabila la Kimasai wanapiga watu ovyo barabarani wapitapo Arusha

    Huko arusha hakuna wanaume?
  11. Abby Uladu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu msioe wanawake wa aina hii. Kumbukeni dunia haina huruma kwa mwanaume

    Inakuwaje unachukua mwanamke bar?
  12. Abby Uladu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfadhili wa Kiarabu awang'ang'ania watoto wa kike wa Kimasai kwa miaka kumi na hataki kuwarudisha makwao

    Vilio sikuhizi havisaidii tena.kwamba ulie uonekane una haki zaidi? Big no....nikaw na mtu miaka 10 na ni mdogo na mimi ni muislam au muikristo unataka awe mpagani? Atakuwa muislam au muikristo kama mimi. Kila mtu anatakiwa apate haki yake na isiwe ya upande mmoja.
  13. Abby Uladu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichogundua kwa wanawake kwenye sex

    Duuh.Subhanallah.
Back
Top Bottom