Recent content by Abby Senior

 1. Abby Senior

  Mashine za kusaga na kukoboa

  Je kuna mashine za kukamua mafuta ya mahindi?
 2. Abby Senior

  Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

  Habari zenu wadau, Ninaomba kama kuna mzoefu wa biashara hii aweze kunisaidia mawazo jinsi ya kuanzisha biashara ya kusaga, kukoboa na kuuza unga pamoja na kujua ni mashine aina gani zinafaa kwa kazi hii pamoja na bei zake. Natanguliza shukrani.
 3. Abby Senior

  Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

  Habari zenu wadau. Ninataka kuanzisha biashara ya kusaga nafaka, na kuuza unga kwa kuweka kwenye vifungashio. Ninaomba kufahamu bei ya mashine za kusaga mahindi size 100 na size 75 ninaweza kupata kwa kiasi gani. Pia nipate na bei za mashine za kukoboa roller 3 au roller 2. Ahsanteni sana.
 4. Abby Senior

  Free Kaspersky Internet Security 2009 License for 100 Days

  Vipi kuhusu Kaspersky antivirus ya Mobile phone inaweza kupatikana keys zake
 5. Abby Senior

  Private torrent ngumu kuzipata izi hapa

  Naomba msaada kupata keys za mobile security and anti virus
 6. Abby Senior

  Uwekezaji nishati

  Habari wadau, Kuna wawekezaji wanataka kuwekeza Tanzania au popote Africa katika sekta ya nishati, je ninaweza kupata wahusika au kama kuna wadau humu tufanye kazi?
 7. Abby Senior

  Msaada: Nimepoteza leseni ya udereva

  Wadau naomba msaada kama kuna mtu yeyote ameiona mahali leseni ya udereva namba 4000549027 anisaidie niipate, namba yangu ya simu ni 0679663661,naomba msaada.
 8. Abby Senior

  Nimepoteza leseni ya udereva

  Wanajamvi habari zenu? Naomba kuleta kwenu taarifa hii ya kupotelewa na leseni yangu ya udereva namba 4000549027. Ninaomba mdau yeyote kama ataiona mahali anipigie namba 0679663661 ili anisaidie niipate leseni hiyo. Natanguliza shukrani zangu.
 9. Abby Senior

  Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

  Hii inakubalika kwa upande mmoja, Tuzungumzie positive side na negative side, katika negatve side wewe unamuita mtoto lakini mtoto huyo alikuwa anaweza kubeba wanaume na tayari alikuwa ni mzoefu wa kujamiiana(na tatizo lilikuwa ni la kimapenzi), je atakuwa hana uwezo hata wa kusukuma mtu...
 10. Abby Senior

  Wazee wa baraza wasema 'Lulu' ameua bila kukusudia, Jaji kutoa hukumu Novemba 13

  Ok, tufahamishe basi, wazee wa baraza kwa nini wapo mahakamani? Na wapo kwa ajili gani?
 11. Abby Senior

  The Earth is flat, and NASA is lying!

  Kama ni flat, usiku na mchana inatokeaje? Na utofauti wa muda kutoka nchi na nchi au bara kwa bara unatokeaje?, wekeni proof za hoja ki sayansi tuelewe !!!
 12. Abby Senior

  The Earth is flat, and NASA is lying!

  Ksma ni flat, usiku na mchana inatokeaje? Na utofauti wa muda kutoka nchi na nchi au bara kwa bara unatokeaje?, wekeni proof za hoja ki sayansi tuelewe !!!
Top Bottom