Recent content by Abbie1994

  1. Abbie1994

    Hivi jamani EGM anasoma IT kweli?

    Ndio Mkuu mimi nina marafiki zangu watatu. Nilisoma nao advance EGM now wapo IFM wanasoma IT.
  2. Abbie1994

    Ku Jail-break iPhone 6 Plus

    Limitations zipo na nazielewa kwa mfano kutokudownload nyimbo na videos straight from safari. Nyimbo za whatsapp huzioni kwenye my music kama ilivyo kwa simu nyingne pamoja na kutumiana files kwa bluetooth. Ila kama ni applications zile basic ambazo wengi huzitumia mfano whatsapp, twitter...
  3. Abbie1994

    Ku Jail-break iPhone 6 Plus

    Watu hutofautiana, mimi nimetumia nokia symbian, android phones, windows phone na iphones. Nimerud tu kwenye iphones... Inategemea na mtu anapenda nini. Ila mm napenda iphones.
  4. Abbie1994

    Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

    Kama kalipwa pesa isiyo halali. Mna ushahidi pelekeni mahakamani.
  5. Abbie1994

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Jkt hutoa muda wa week moja. Kambi nyingi niliona hvyo au kama nyumbani ni mbali mfano sisi tuliokuwa kigoma waliruhusu siku 3 watu kwenda mjini na kurudi kwa ajili ya application, mwaka huu sijajua utaratibu wao. Application za tcu hazihitaji cheti chochote. Ila kama mtu alikuwa ameweka malengo...
  6. Abbie1994

    Jipatie kilicho bora, nauza simu mpya na original

    Wakuu, Nimeleta bidhaa nyingine mpya pamoja na accessories zake. Ipo samsung galaxy s3 bei yake ni 340000 tu. Nyingine ni samsung galaxy s5 bei yake ni 680000 tu. piga simu au tuma sms kwa maelewano zaidi 0657233029. Njoo tufanye biashara. Karibuni sana
  7. Abbie1994

    Kuponda ponda simu za wanafunzi sio sawa

    Form one mpaka form six yangu nilikuwa natumia simu katika shule tofauti nlizopitia.. Kote ilikuwa hivi hivi hasa Galanos na Northern Highlands nlishuhudia simu za watu zikivunjwa. Sikuwahi kukamatwa ila naelewa madhara yake kimasomo, simu ni bora uache nyumbani, usipokuwa makini utakuwa...
  8. Abbie1994

    Full boxed LG G3

    Brand new lg g3 Haijatumika ipo full boxed Bei ni 700k Maelewano yapo Nipo dar kwa mawasiliano 0657233029
  9. Abbie1994

    Brand new sony xperia t2 ultra

    Simu ni mpya kabisa Ipo na kila kitu chake Bei ni 550000 Nipo dar Maelewano yapo Nichek kwa 0657233029
  10. Abbie1994

    Pata simu mpya kabisa HTC

    Kuna htc one xv brand new with full full accessories Bei yake ni 300k Maelewano yapo Pia kuna Htc one v used for two weeks Accessories zipo Bei yake ni 120k Maelewano yapo pia Napatikana Daresalaam Kwa mawasiliano 0657233029
Back
Top Bottom