Naona wewe ni shabiki wa ccm na umeandika kishabiki utakua una masrahi na chama.
kwanza kila chama kina haki ya kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi, pia tambua kuwa wewe ukioa mke ukaona ni mzuri sana kuliko wengine bado kuna mwingine ataona wako ana kasoro . hivyo fanya uchambuzi unaoeleweka...
Huyu piter msigwa ni jembe tunamkubali ana IQ KUBWA SANA, huyu jamaa ni wa ukweli weka jina baba wewe tundu lissu wote majembe . nchi hii imewatenga sana watumishi wa umma miaka mitano wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii kukuza uchumi wa nchi lakini maslahi yao na haki zao hazizingatiwi wapi na...
tumekwama wapi watanania watumishi wa uma bil bila miaka mitano hata mia nyongeza ya mishahara nyie mnapongeza tuuuuu du hatariiii
Hao siku zoteee nawawashangaaaa cjui tume
Siwajui, lakini jitahidi kufanya uchunguzi sana kabla ya kutoa pesa yako. Gharama za jumla za kilimo cha mahindi kwa wastani kwa ekari moja inawezafika hiyo laki sita na point, ila sijaona wao faida ya kujiendesha itatoka wapi na pia nina wasiwasi wa kufikisha hayo mavuno ya gunia 30 kwa ekari.
Mwanao ana kibuti cha kutosha, na alipotengwa aliona sawa tu
ndio maana hakuona haja ya kukwambia. By the way ni mtu mzima now mwache apambane na hali yake
Wakuu poleni kwa majukumu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufanya biashara na mtu anayetengeneza vifungashio kwa ajili ya kupaki sabuni. Vifungashio hivyo ni pamoja na box za aina mbalimbali na plastic zenye ujazo kuanzia lita moja na kuendelea.
Au kama unamfaham mtu mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.