Vyama vya upinzani, uchaguzi huu ungeni mkono mgombea urais wa CCM hamna mgombea wa maana wa kushinda kwenu

Pia vigumu Raisi mgombea wa upinzani kushinda sababu hawana support vijijini ambako asilimia themani ya watanzania huishi na matawi ya vyama vyao upinzani hayapo
Lakini huko ndo wamechapika kimaisha hatari Hadi akili zimekaa sawa,awajaona faida yeyote zaidi ya kusomeshwa
 
Vyama vya upinzani havina mgombea yeyote wa maana wa kushinda uchaguzi wa urais kupitia vyama vyao sababu vyote kwanza havina nguvu pande zote za muungano.

Chadema ina nguvu Tanzania bara tu mkoa wa Kilimanjaro tu kidogo mji wa Arusha upande wa Zanzibar hamna kitu. Hivyo akiwekwa mgombea uraisi kura kidogo ataziokota Kilimanjaro na Arusha kidogo ingawa nako sio rahisi kushinda sababu wanachadema wengi walitupa kadi za kupigia kura kwa hasira Lowasa aliposhindwa urais 2015 na waliapa hawaji kupiga kura tena milele.

Chadema haitakuwa na wapiga kura wengi Kilimanjaro na Arusha hivyo kushindwa kupata kura nyingi za urais.

Zanzibar Chadema haipo hivyo mgombea wake hataambulia kitu.

Ukija ACT Wazalendo upande wa Tanzania bara hakina nguvu na ndiko kunakoamua nani awe Rais sababu ndiko kuna wapiga kura wengi, upande wa Zanzibar ACT wazalendo inakubalika kea kiasi kidogo pemba sio yote bali eneo alikozaliwa Maalim Seif kwa hiyo kura za urais zitapatikana kaeneo hako kadogo tu hivyo kufanya mgombea uraisi kwa tiketi ya ACT Wazalendo kutofika popote.

Vyama vya upinzani vyote vingine vilivyonaki having nguvu Zanzibar Wala Tanzania bara ni visindikizaji uchaguzi tu. Hivyo kuweka mgombea ni kapoteza tu muda na raslimali.

Tatizo lingine la upinzani ni kuwa pesa za kampeni hawana na wananchi hawajahamasika vya kutosha kuviamni hivi vyama kuwa ni mtetezi wao!! Hivyo kufanya mioyo Yao kuwa migumu kuingia mifukoni kuwachangia

Miaka yote mitano vyama vya upinzani badala ya kubeba agenda za wananchi walibeba agenda zao viongozi wa vyama!!! Mfano mfano mdogo madai yao makubwa ni la kwanza kudai tume huru itakayoshirikisha vyama vyote hapa wanajiongelea wao viongozi kuingizwa tume na wao walambe posho za tume na wao watangazwe na tume kuwa wameshinda. Hili haligusi mwananchi wa kawaida ni wao wanajipigania maslahi Yao!

Pili ohh wanataka uhuru wa kufanya mikutano hili pia ni lao viongozi wanajipigania wao kama wao sio agenda ya wananchi na hitaji kuu la wananchi. Wananchi hitaji lao kui sio mikutano ya hadhara!

Wanadai uhuru wa kuongea chochote. Mwananchi kwa hili mgumu kulielewa sababu mtaani yeye hujiongelea lolote .Hili nalo wanajilenga wao na maneno yao ya kutukana serikali lakini sio hitaji kuu la mwananchi.

Kiujumla upinzani haujagusa mahitaji ya mwananchi ili achangie vyama kampeni zinazokuja. Upinzani ujilaumu wenyewe kwa kutoshughulika na agenda za mahitaji muhimu ya wananchi kwa kipindi chote cha miaka mitano wakihangaokia hoja ni mahitaji yao na sio ya wananchi walio wengi.

Hata ukiangalia Lockdown down ya Corona walijionyelea wao na kuji lockdown down wao bila hata kushirisha wanachama wao wanajibebea agenda zao tu!

Lingine vyama vya upinzani pesa hawana wenye ruzuku wamezira zote na wagombea malofa hela hawana hakuna mgombea uraisi wa upinzani mwenye pesa za kuendesha kampeni nchi nzima hayupo.

Support ya mgombea yeyote wa upinzani wa kiti cha Uraisi kifedha na ki kura utakuwa mdogo mno safari hii hivyo heri tu kutoa tamko mapema kumuunga mkono mgombea wa CCM ili alishinda aweza kukikumbuka hicho chama mbele ya safari katika ufalme wake.
Mnamgombea mpya au yuleyule,Kama yule yule labda akagombee udiwani kwao ndo anaweza pata, Hakuna mwananchi yeyeto mwenye akili timamu akaona fahari kuumizwa tena
 
Vyama vya upinzani havina mgombea yeyote wa maana wa kushinda uchaguzi wa urais kupitia vyama vyao sababu vyote kwanza havina nguvu pande zote za muungano.

Chadema ina nguvu Tanzania bara tu mkoa wa Kilimanjaro tu kidogo mji wa Arusha upande wa Zanzibar hamna kitu. Hivyo akiwekwa mgombea uraisi kura kidogo ataziokota Kilimanjaro na Arusha kidogo ingawa nako sio rahisi kushinda sababu wanachadema wengi walitupa kadi za kupigia kura kwa hasira Lowasa aliposhindwa urais 2015 na waliapa hawaji kupiga kura tena milele.
Hii post imekaa kishabiki sana. Kwenye political strategising huwezi kukimbia uwanja wa mapambano kwa sababu umeshindwa au unamwogopa mpinzani wako. Ni lazima upambane mpaka mwisho na ndiyo salama yako katika siasa. Kuvishawishi vyama vya siasa vya upinzani kutokumsimamisha mgombea urais eti kwa sababu mgombea wa CCM ana nguvu ni upuuzi.
 
Utafiti huo uliufanyia wapi? Kwa taarifa yako mabosi wako wanajua kazi tuliyofanya ya Chadema Msingi na ndiyo maana walivuruga mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa. Ile ngoma ingepigwa huko Lumumba wangeshamwagana mavi. Chadema ina nguvu kuliko wajinga wengi wa Lumumba wanavyoaminishwa.
Sipati picha kampeni zikianza,jinsi makamanda watakavyokuwa wakitoka jasho kumnadi Lissu akiwa kavaa kipensi wakishindana kunadi makovu ya risasi
 
Hii post imekaa kishabiki sana. Kwenye political strategising huwezi kukimbia uwanja wa mapambano kwa sababu umeshindwa au unamwogopa mpinzani wako. Ni lazima upambane mpaka mwisho na ndiyo salama yako katika siasa.
MMMMM mbona uchaguzi wa serikali za mitaa vyama vya upinzani walikimbia na kuiachia CCM ikashinda mitaa yote nchi nzima bila kupingwa
 
Ni kosa kubwa Sana kuwa na mawazo ya kufifisha upana wa kuchagua viongozi wetu Kwa visingizio vidogo. Leo tuna imani na Magufuli lakini kesho ataingia mwingine atakaye kuwa Mwiba Kwa maisha yetu na hatutakuwa na uwezo wa kumtoa Kwa sababu tutakuwa tumekosea sisi wenyewe.
 
1591355160965.jpeg
 
Vyama vya upinzani havina mgombea yeyote wa maana wa kushinda uchaguzi wa urais kupitia vyama vyao sababu vyote kwanza havina nguvu pande zote za muungano.

Chadema ina nguvu Tanzania bara tu mkoa wa Kilimanjaro tu kidogo mji wa Arusha upande wa Zanzibar hamna kitu. Hivyo akiwekwa mgombea uraisi kura kidogo ataziokota Kilimanjaro na Arusha kidogo ingawa nako sio rahisi kushinda sababu wanachadema wengi walitupa kadi za kupigia kura kwa hasira Lowasa aliposhindwa urais 2015 na waliapa hawaji kupiga kura tena milele.

Chadema haitakuwa na wapiga kura wengi Kilimanjaro na Arusha hivyo kushindwa kupata kura nyingi za urais.

Zanzibar Chadema haipo hivyo mgombea wake hataambulia kitu.

Ukija ACT Wazalendo upande wa Tanzania bara hakina nguvu na ndiko kunakoamua nani awe Rais sababu ndiko kuna wapiga kura wengi, upande wa Zanzibar ACT wazalendo inakubalika kea kiasi kidogo pemba sio yote bali eneo alikozaliwa Maalim Seif kwa hiyo kura za urais zitapatikana kaeneo hako kadogo tu hivyo kufanya mgombea uraisi kwa tiketi ya ACT Wazalendo kutofika popote.

Vyama vya upinzani vyote vingine vilivyonaki having nguvu Zanzibar Wala Tanzania bara ni visindikizaji uchaguzi tu. Hivyo kuweka mgombea ni kapoteza tu muda na raslimali.

Tatizo lingine la upinzani ni kuwa pesa za kampeni hawana na wananchi hawajahamasika vya kutosha kuviamni hivi vyama kuwa ni mtetezi wao!! Hivyo kufanya mioyo Yao kuwa migumu kuingia mifukoni kuwachangia

Miaka yote mitano vyama vya upinzani badala ya kubeba agenda za wananchi walibeba agenda zao viongozi wa vyama!!! Mfano mfano mdogo madai yao makubwa ni la kwanza kudai tume huru itakayoshirikisha vyama vyote hapa wanajiongelea wao viongozi kuingizwa tume na wao walambe posho za tume na wao watangazwe na tume kuwa wameshinda. Hili haligusi mwananchi wa kawaida ni wao wanajipigania maslahi Yao!

Pili ohh wanataka uhuru wa kufanya mikutano hili pia ni lao viongozi wanajipigania wao kama wao sio agenda ya wananchi na hitaji kuu la wananchi. Wananchi hitaji lao kui sio mikutano ya hadhara!

Wanadai uhuru wa kuongea chochote. Mwananchi kwa hili mgumu kulielewa sababu mtaani yeye hujiongelea lolote .Hili nalo wanajilenga wao na maneno yao ya kutukana serikali lakini sio hitaji kuu la mwananchi.

Kiujumla upinzani haujagusa mahitaji ya mwananchi ili achangie vyama kampeni zinazokuja. Upinzani ujilaumu wenyewe kwa kutoshughulika na agenda za mahitaji muhimu ya wananchi kwa kipindi chote cha miaka mitano wakihangaokia hoja ni mahitaji yao na sio ya wananchi walio wengi.

Hata ukiangalia Lockdown down ya Corona walijionyelea wao na kuji lockdown down wao bila hata kushirisha wanachama wao wanajibebea agenda zao tu!

Lingine vyama vya upinzani pesa hawana wenye ruzuku wamezira zote na wagombea malofa hela hawana hakuna mgombea uraisi wa upinzani mwenye pesa za kuendesha kampeni nchi nzima hayupo.

Support ya mgombea yeyote wa upinzani wa kiti cha Uraisi kifedha na ki kura utakuwa mdogo mno safari hii hivyo heri tu kutoa tamko mapema kumuunga mkono mgombea wa CCM ili alishinda aweza kukikumbuka hicho chama mbele ya safari katika ufalme wake.
Acha propaganda wewe kwa nini uwasemee wenzio wewe kukuruka na hali yako
 
Lkini mbona mnaogopa tume huru na katiba huru.

Kwanini mnapeleka muswaada bungeni viongozi WA juu wasishitakiwe endapo watavunja katiba.

Kwanini hampendi ushindani WA hoja bila ya kutumia nguvu za vyombo vya dola?

Hivi madedi waliokataliwa Kwanini mnalazimisha wawe wasimamizi kwenye vituo vya kupigia kura?

Mmefanya kila kitu lakni bado mnaogopa upinzani na kuwafungulia kial aina ya kesi.

Note hii.

Mnapanga njia za kupiga kura hewa na mzifanye kuwa nikura halali. Ccm ni WA ajabu sana.
 
Back
Top Bottom