Recent content by abas muhindi

  1. abas muhindi

    BASATA Hongereni Kumfungia Diamond na Tabia Zake za Hovyo Zisizovumilika

    Dimond alipofika ni kwa juhudi zake mwenyewe hataivi ni wivu tuu wa watu flani hata mumchukie bado anahela mingi mumfungie ni wakimataifa atauza mbelembele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. abas muhindi

    Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla

    Mange ni noma ni hapa mnavo mdiscas ndo hua anatakaga hata shekhe mkuu wa dar alijaribu akajikuta analia
  3. abas muhindi

    Baada ya kifo cha CHADEMA, nini hatma ya upinzani nchini?

    Hapa ni makinikia na mabox ya ripoti ya pr fesa kabudi na noha mojamoja kwa kila mtanzania
  4. abas muhindi

    GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Namkubali sana membe uwaziri wake wa mambo ya nnje uliipigia debe Tz ndo kupata taasisi mingi kutoka ughaibuni madola kupatikana kwa wingi ajira zilikua masha alaah akipewa urais membe mwenyeji sana ughaibuni atapanda .ara kadhaa mambo yatakaa sawa kwa nchi za kiafrica lazima utengeneze ukaribu...
  5. abas muhindi

    Dhambi ya Membe ni kulishwa maneno, CCM tuisome tena katiba yetu na kuielewa

    Ishu hapa ni membe je ana faa ama hafai mm anafaa [emoji23][emoji23]
  6. abas muhindi

    Itifaki imekaaje hapa

    Ingekua ndo chadema waliwaalika hao ma ofisaaa sijui ingekuaje
  7. abas muhindi

    Katika siasa hamtutendei haki sisi wa aina hii. Mnadhani mpo peke yenu tu!

    Sitaki chama chochote sito chagua chama wala mafiga matatu bali ntachagua kiongizi niliena imaninae bila kujali chama gani huu ndi msimamo wangu
  8. abas muhindi

    Hivi kwenye kampeni ya 2020 Magufuli atawaambia nini wananchi?

    Sina imani utakua uchaguzi imani yangu ni mtu kujitangaza tuu hata majumuisho ya kura bado kujumlishwa (muniombee mungu)jamaniii
  9. abas muhindi

    Mheshimiwa Rais sidhani kama kupenda Kwako kila mara ' Kumtajataja ' hadharani TISS DG Dkt. Kipilimba ni sawa Kiuweledi

    Hiki chombo si chakuhojihoji maana hata bunge halikiwezi kaa chonjo usije pituka kesi ya uchochezi itakuhusu.
  10. abas muhindi

    Marais Magufuli na Kenyatta kukutana tarehe 1 Desemba Namanga

    Nimejiskia raaaha kuona viongozi wangu na hawa ndie haswaaa
  11. abas muhindi

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kenya 75%ya uwekezaji mali viwanda na matajiri si wakenya.wakenya wao wamewekeza changaa nk.
  12. abas muhindi

    Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Serikali ina nianjema kwenye private mony imeamua kusaidia wastaafu.lakini nikweli?mtumishi akiwa kazini hadi leo hajathaminiwa stahiki zao hawapewi.wastaafu eeee aaa imekulakwenu
Back
Top Bottom