Mange Kimambi yupo obsessed na Diamond na familia yake kwa ujumla


Makiseo

Makiseo

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2015
Messages
583
Likes
1,035
Points
180
Makiseo

Makiseo

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2015
583 1,035 180
Na kuwaita wenzie Cheap nini sijui.. Mara akamlipie Bill ya umeme. Na wabongo walimtahadharisha. Sasa hivi kabaki na aibu zake.
Alipoanza na domo watu walimfurahia saana her beauty + everything ,shida ikaanza alipozaa tobaa yule bibi akajiona yeye ndo mwenye maku bongo nzima hahahaha
Wabongo wakamfurahisha mxieww tena bwana mwenye mondi raha tupu ......sahiv kabaki na stress tuuuu
 
finnest

finnest

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
697
Likes
903
Points
180
finnest

finnest

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
697 903 180
Mimi mwenyewe yaani. Kijibishana na mtu au watu niliowazidi umri siwezi. Naona kama napata fedheha. Bora ninyamaze nitunze utu uzima wangu.
Hana akili watoto wake wakubwa kweli afu wanaona mama kutwa anachambana insta na kugombaniana bwana
 
finnest

finnest

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
697
Likes
903
Points
180
finnest

finnest

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
697 903 180
Na kuwaita wenzie Cheap nini sijui.. Mara akamlipie Bill ya umeme. Na wabongo walimtahadharisha. Sasa hivi kabaki na aibu zake.
Yeye mwenyew ni cheap ,ndo maana hajiamini picha mpaka aziedit weeee na kila saa kuonyesha kitovu nje dooooh!!!! Akitaka classy ajifunze kwanza staha
 
Makiseo

Makiseo

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2015
Messages
583
Likes
1,035
Points
180
Makiseo

Makiseo

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2015
583 1,035 180
Outa here nshakutanisha mashost watatu thats numby's job.

Idumu JF
Tumeshakupotezea.. tafuta wenye akili kama zai muendelee. Badala ya kujibu hoja unaanza kushambulia watu. Na kuleta vitu usivyoulizwa. By Felicia
 
Cajojo

Cajojo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
4,508
Likes
4,943
Points
280
Cajojo

Cajojo

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
4,508 4,943 280
Walimnyoosha kisawa sawa hivi na umri ule akainvest kwa domo kijana mdogooooo ......bora hata angetarget wa umri wake wangeheshimiana !!!
She wanted fame akapata na stress juu
Ange invest kimya kimya na sio kuchamba watu. Mbona angefika mbali tuu yy akaanza kuleta nyodo ninyodoe
 

Forum statistics

Threads 1,235,539
Members 474,641
Posts 29,226,056