Recent content by Abang

  1. A

    Vodacom Router Bei Nafuu

    Bei ziko kwenye kipeperushi hapo
  2. A

    Vodacom Router Bei Nafuu

    Je unatunia simu yako kama wi-fi hotspot wakati wa kazi ofisini au masoko chuoni? Wakati mwingine internet inakata mtu akikupigiaa sasa acha na hizo habari suluhisho limepatikana kwani ni Vodacom Router na inapatikana kwa bei nafuu sana na vifurushi rafiki kabisa. Kwa maelezo zaidi 0744002351...
  3. A

    Chimbo la Nguo za Awali mtoto mchanga

    Ndioo napajuaaa kaka
  4. A

    Chimbo la Nguo za Awali mtoto mchanga

    Mwenye kujua chimbo kko la bei nzuri nguo za awali za mtoto mchanga naomba unielekeze
  5. A

    Kudate watu wenye majina yanaofanana

    Hehehe wee kaushaaa
  6. A

    Kudate watu wenye majina yanaofanana

    Nani huyo😂😂😂
  7. A

    Kudate watu wenye majina yanaofanana

    Naamini katika pita pita zako imewahi kukutokea umepata me/ke mwenye jina la kufanana na ex wako huko mwanzo..huwa unachukuliaje hilo suala? Kuna jamaa angu mmoja amekutana amedate na ke wenye majina ya Fatma,Eva, Pendo na Neema.. Wewe kwa upande wako umekutana na akina nani?
  8. A

    Vijana wa mauzo - Tiles

    Wanahitajika vijana 2 wa mauzo ya tiles. Watakuwa na majukumu ya kwenda kutafuta order sites mbali mbali zinazojengwa. Eneo la ofisi ni Madale na kuna posho kwa mwezi, nauli na commission kulingana na mzigo ulivyouza. Pia nakaribisha wale wote wenye uhitaji wa tiles kwa bei poaa na offer kibao...
  9. A

    Keda Ceramic - Twyford Tiles

    Aisee Leo wametangaza nafasi gani....duu Bora maana Niko Mwz
  10. A

    Keda Ceramic - Twyford Tiles

    Hawa jamaa walitangaza nafasi ya business Specialist kwenye kiwanda Chao kilichopo mkuranga. Nilifanikiwa kuitwa interview Leo ila ikatumwa sms kuwa zoezi limehairishwa mpaka watakapo toa taarifa tena...Kuna yoyote amekutana na jambo kama hili?
  11. A

    Kwa wenye uzoefu, tupeane dondoo za biashara ya kuuza saruji (cement) kwa rejareja

    Utokaji wake unategemea na sehemu biashara ilipo. Ikiwa ni maeneo ambayo yameendelea tayari mzigo utakuwa hauendi Sana mfano Duka liwe Mikocheni Ila Duka likiwa kisemvule, chamazi mzigo utatoka sana. Unaweza kuanza na gari moja Ila nakushauri usiuze cement yenyewe weka na bidhaa nyingine za...
  12. A

    Naomba kupata mungozo wa biashara ya rasta

    Zipo rasta za makampuni mbali mbali kama Stella, darling etc. Unataka kufanya jumla ama Reja reja? Reja reja unaweza pata 50-200.. jumla Kati ya 1000 Hadi 2000 Kwa katoni. Japo sikushauri uweke rasta pekee yake weka na wiving ndio zina faida. Maeneo kama Mwenge, Makumbusho, Tandika, Mbagala.
  13. A

    Viatu vya shule vinauzwa bei nafuu

    Kwanini usubiri hadi January kununua viatu vya shule kwa ajili ya mwanao, wakati ni sasa jipatie viatu vya shule na offer ya socks Kwa 35,000 Call/what's up 0744 002351 Zinapatikana no 20 - 40
Back
Top Bottom