Kwan kipind lissu kapigwa risas 16 ye gwaj s alikua bungen alihoji why!!!au anataka kusema nn!! Na hii nchi sio ya mapadri Tz ilifaa ipate kichaa km kagame coz wao rwanda wanajua uchungu wa mapdre walicholeta rwanda
Swala la rushwa n kipengele hata nchi zilizoendelea mfano upande wa trump kupitia tajiri mkubwa dunian elon musk alinunua kura ngap kwa mamillion ya pesa
Mfumo wa ajira portal n crosscutting issue n bora kila wizara iendlee na mfumo wake wakuajili watoe fursa watu kuaply maana ajira portal havielwek kila kitu inabana
Mwauwasa washakua wanasiasa hao mkolani hapo maji mgao pro max na hawana sababu yoyote ya maji kua na mgao hv inaingia akili maji kutoka mwanza yanatumika kahama tabora nahayataktiki ila mwanza humu humu kuna mgao na istoshe rais samia amefungua mradi mkubwa mkuyuni wa maji akasema tatizo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.